Unahitaji kuwa mfugaji wa nguruwe kibiashara!?

Unahitaji kuwa mfugaji wa nguruwe kibiashara!?

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
252
Reaction score
328
🌍 Rubaba Media – Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania 🌱🐖

Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali – wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata wale wa muda mrefu. Wengi wao wanatamani kuingia kwenye ufugaji wa nguruwe kibiashara, lakini changamoto kubwa imekuwa ni ukosefu wa elimu, uelewa na maarifa sahihi ya kufanikisha biashara hii.

Matokeo yake, baadhi wameishia kutamani tu bila kuchukua hatua, na wengine waliothubutu bila ujuzi wamejikuta wakipata hasara kubwa na kuchukia ufugaji huu wenye faida kubwa.

👉 Kwa kutambua hilo, Rubaba Media tumekuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu tukitoa elimu, ushauri na mwongozo wa vitendo ambao tayari umewasaidia maelfu ya wafugaji ndani na nje ya Tanzania. Tumekuwa tukishirikiana na wadau, wataalamu na watu binafsi kuhakikisha ufugaji wa nguruwe unakuwa biashara yenye tija.

Ndiyo maana tumeanzisha jumuiya yetu TANZANIA NA KILIMO 🌱 – kupitia group letu maalumu ambapo utakutana na:
✅ Wadau wa ufugaji wa nguruwe
✅ Wafugaji wapya na wale waliobobea
✅ Wataalamu wa mifugo
✅ Na watu muhimu wenye taarifa, elimu na masoko

Kwenye group hili tunajadili mambo muhimu, tunapeana elimu ya vitendo, ushauri, connection na taarifa zote unazohitaji ili ufanikiwe.

💡 Wito wetu kwako: Usipitwa! Ikiwa bado hujajiunga nasi, unakosa fursa kubwa ya maarifa, elimu na mtandao wa watu wenye tija.

Karibu kwenye familia ya Rubaba Media & Tanzania na Kilimo – mahali elimu na fursa hukutana! 🌍✨
 

Attachments

  • a9be356ec0f7c5f485a7417fb7d4661e_0.jpeg
    a9be356ec0f7c5f485a7417fb7d4661e_0.jpeg
    1,007.7 KB · Views: 23
Back
Top Bottom