Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
- Thread starter
- #21
Sioni namba hapa
Pm tuongee kama upo dar asante...
Sioni namba hapa
Utanivutia umeme tandajimba?
Kwa wale wamiliki wa magari wanaweza kuku saidia kwamba vibali vyao vyote hua wana fuatilia wao? Na kama hua wanawatumia watu watu hao hua ni vishoka ambao wana pingwa na tra kwakua wanaingiza hasara? Kumbuka kwamba sisi pia hatufanyi kazi kwa utaratibu wetu sio kwa vifaa vyetu ila wakuu wanatuamini kwa kazi na wakati mwingine lazima mkuu afike eneo la kazi.... niombe radhi kwa kuto sema kwamba kwa wale wa Dar es salaam wanapewa kipau mbele... asante hatupo kuhujum shirika wala serikali..tupo kuwasaidia wasio kua na mda wa kufuatilia mambo haya ....kwa walio wahi kuingiza umeme wanajua kulivyo na ugum wa kupishana kwa wafanyakazi na wateja mida ya kiutendaji n.k (SIO KISHOKA)
Mnasaidia free?