Unahitaji jina la biashara la kipekee!? Karibu

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Hello Jf
Natoa huduma ya kudizaini na kuuza majina kipekee ya kibiashara na ya makampuni.

Vilevile natoa huduma za kusajili majina ya kibiashara na makampuni kwa taratibu zote za kisheria kwa mujibu wa BRELA

Gharama ni maelewano na zinategemea unahitaji huduma zipi kutoka kwangu. Tofauti ya gharama zinategemea huduma kama vile
1. Kupata jina la kipekee la kibiashara au kampuni
2. Kuandikiwa Memorundum and article of Association
3. Usajili Brela
4. Nyinginezo
Gharama zipo wazi na nafuu sana
Hotline:0659211222
Email: afrotzintertrades@gmail.com
You are warmly welcome!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom