Unahitaji Greenhouse ya Chuma (Steel)

Unahitaji Greenhouse ya Chuma (Steel)

Kilimo Kwanza

Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
49
Reaction score
20
Unahitaji Greenhouse Ya Chuma(Steel)

  1. Total galvanized structure
  2. Width - 8mtr
  3. Length - 15mtr
  4. Gutter/Shoulder height - 3.0mtr
  5. Center height - 4.5mtr
  6. Entrance Door - 1mtr Width by 2mtr Height
  7. Poly film - 200 microns, anti-drip and anti-mist effect
  8. HDPE Insect net – 80gsm
  9. Mesh size – 32mesh
  10. Drip line - 16mm diameter with Filter
  11. Foundation depth - 2.5feet
  12. Wind speed capacity - 120kmh

[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Area
[/TD]
[TD]120sqm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tomato Spacing[/TD]
[TD]20cm by 40cm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plants[/TD]
[TD]800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Minimum Output[/TD]
[TD]15kg[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Average Price Per Box (40kg)[/TD]
[TD]Shs 30,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total Cost of Production - 7 Month[/TD]
[TD]Shs 600,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Greenhouse Construction[/TD]
[TD]Shs 6,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gross Revenue[/TD]
[TD]Shs 9,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit First Season[/TD]
[TD]Shs 2,400,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Second Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Third Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Inclusive: Pesticides, Fertilizers, Training, Support for First Season, Spray and Fertilizer Programme

NB:
The client should be responsibility to deliver water into the greenhouse
The water pump and water source should be supplied by client

Call us on 0683-644-480
 
[TD][/TD]

N.B:
The client should be responsibility to deliver water into the greenhouse
The water pump and water source should be supplied by client

Call us on 0683-644-480

Mbona hujajaza sasa? Kila kitu umeacha pending
 
Nimeachwa mbalu sana. Ngoja niende mlimani siti nikajifunze inglishi kwanza.
 
Nikweli angeandika Kiswahili ingekuwa nzuri zaidi.
Maana wengine hadi tu print(he kizung tena)kisha tuwape watu wasome ili waone kama wanaweza kuwekeza.
 
Mkuu Kilimo Kwanza;
Nina sehemu kubwa tu na zaidi ya yote, nina nia sana na kuupata utaalam huu wa greenhouse. Je;
- Nawezaje kuupata huu utaalam Kilimanjaro?
- Ni lazima iwe katika vipimo hivyo wala si zaidi?
- Nikitaka mazao ka mawili, ni lazima ziwe 2?
Nijibu tu kwa faida ya wengi lakini miye ntakutafuta zaidi very very soon
 
Kaka, JUST na Zanzibar Spice nalifanyia hilo kazi, na kesho nitawapatia ya kiswahili, ingawa baadhi ya vitu hapo sina tafsiri zake za kiswahili, nitajitahidi kwa kadri nitakavyoweza tu.
 
Mkuu Kilimo Kwanza;
Nina sehemu kubwa tu na zaidi ya yote, nina nia sana na kuupata utaalam huu wa greenhouse. Je;
- Nawezaje kuupata huu utaalam Kilimanjaro?
- Ni lazima iwe katika vipimo hivyo wala si zaidi?
- Nikitaka mazao ka mawili, ni lazima ziwe 2?
Nijibu tu kwa faida ya wengi lakini miye ntakutafuta zaidi very very soon

Kwa sasa tuna greenhouse zenye vipimo hivi, 8mx15m=120sqm na 8mx30m=240sqm, ila kama unahitaji iwe tofauti tunaweza kukupatia pia.

Hakuna mtaalamu atakaye kushauri kupanda hoho na nyanya kwenye greenhouse moja kwa maana ni rahisi kuhamisha magonjwa na wadudu kutoa zao moja kwenda jingine. Ila wapo watu waliofanya hivyo na kufanikiwa, inahitaji usimamizi wa karibu tu.

Utaalamu huu unaweza kuupata hata huko Klm.
 
Unahitaji Greenhouse Ya Chuma(Steel)

  1. Total galvanized structure
  2. Width - 8mtr
  3. Length - 15mtr
  4. Gutter/Shoulder height - 3.0mtr
  5. Center height - 4.5mtr
  6. Entrance Door - 1mtr Width by 2mtr Height
  7. Poly film - 200 microns, anti-drip and anti-mist effect
  8. HDPE Insect net – 80gsm
  9. Mesh size – 32mesh
  10. Drip line - 16mm diameter with Filter
  11. Foundation depth - 2.5feet
  12. Wind speed capacity - 120kmh

[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Area
[/TD]
[TD]120sqm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tomato Spacing[/TD]
[TD]20cm by 40cm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plants[/TD]
[TD]800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Minimum Output[/TD]
[TD]15kg[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Average Price Per Box (40kg)[/TD]
[TD]Shs 30,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total Cost of Production - 7 Month[/TD]
[TD]Shs 600,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Greenhouse Construction[/TD]
[TD]Shs 6,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gross Revenue[/TD]
[TD]Shs 9,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit First Season[/TD]
[TD]Shs 2,400,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Second Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Third Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Inclusive: Pesticides, Fertilizers, Training, Support for First Season, Spray and Fertilizer Programme

NB:
The client should be responsibility to deliver water into the greenhouse
The water pump and water source should be supplied by client

Call us on 0683-644-480

Mi ndo nipo nyuma kabisa..
Hiyo greenhouse unamaanisha mnatengeneza nyumba/mabanda halafu mnayauza au ni nn??? Msaada tafadhali
 
Unahitaji Greenhouse Ya Chuma(Steel)

  1. Chuma iliyoboreshwa kisasa dhidi ya kutu na inadumu kwa muda mrefu.
  2. Upana - mita 8 na Urefu - mita 15
  3. Eneo la mita za mraba 120
  4. Urefu wa kutoka chini hadi kwenye paa linapoanza - mita 3
  5. Urefu wa kutoka chini hadi kwenye paa juu kabisa - mita 4.5
  6. Mlango wa kuingilia - Upana mita 1 na Urefu mita 2
  7. Karatasi ya kufunika paa, inayokinga mimea dhidi ya jua na mvua - ina saizi 200 micron, haitunzi unyevu kwa ndani
  8. Neti kwa ajili ya wadudu – 80gsm, 32mesh (saizi ya matundu)
  9. Mipira ya maji ya matone - kipenyo cha milimita 16 pamoja na chujio
  10. Msingi wa nyumba - 2.5feet
  11. Nyumba inahimili kasi ya upepo wa - 120km/h

[TABLE="class: cms_table_grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Eneo
[/TD]
[TD]120sqm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nafasi kati ya Miche
[/TD]
[TD]20cm kwa 40cm
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Idadi ya Miche
[/TD]
[TD]800
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mazao kwa Mche
[/TD]
[TD]15kg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wastani wa bei kwa Box (40kg)
[/TD]
[TD]Shs 30,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gharama za uzalishaji - Miezi 7
[/TD]
[TD]Shs 600,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gharama za ujenzi wa Greenhouse
[/TD]
[TD]Shs 6,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla ya mapato
[/TD]
[TD]Shs 9,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa kwanza
[/TD]
[TD]Shs 2,400,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa pili
[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa tatu
[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

UNAPATA: Madawa, Mbolea, Mafunzo, Msaada kwa kipindi cha msimu mmoja, Kalenda ya upigaji dawa na uwekaji mbolea

KUMBUKA:
Mteja unawajibika kuleta maji karibu na greenhouse
Upatikanaji wa maji au kisima cha maji ni wajibu wa mteja.

Mi ndo nipo nyuma kabisa..
Hiyo greenhouse unamaanisha mnatengeneza nyumba/mabanda halafu mnayauza au ni nn??? Msaada tafadhali

Nyumba/mabanda ya mekwisha tengenezwa, tukifika eneo la mteja nikuunganisha vitu na kulisimamisha tu.
 
Unahitaji Greenhouse Ya Chuma(Steel)

  1. Chuma iliyoboreshwa kisasa dhidi ya kutu na inadumu kwa muda mrefu.
  2. Upana - mita 8 na Urefu - mita 15
  3. Eneo la mita za mraba 120
  4. Urefu wa kutoka chini hadi kwenye paa linapoanza - mita 3
  5. Urefu wa kutoka chini hadi kwenye paa juu kabisa - mita 4.5
  6. Mlango wa kuingilia - Upana mita 1 na Urefu mita 2
  7. Karatasi ya kufunika paa, inayokinga mimea dhidi ya jua na mvua - ina saizi 200 micron, haitunzi unyevu kwa ndani
  8. Neti kwa ajili ya wadudu – 80gsm, 32mesh (saizi ya matundu)
  9. Mipira ya maji ya matone - kipenyo cha milimita 16 pamoja na chujio
  10. Msingi wa nyumba - 2.5feet
  11. Nyumba inahimili kasi ya upepo wa - 120km/h

[TABLE="class: cms_table_grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Eneo
[/TD]
[TD]120sqm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nafasi kati ya Miche
[/TD]
[TD]20cm kwa 40cm
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Idadi ya Miche
[/TD]
[TD]800
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mazao kwa Mche
[/TD]
[TD]15kg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wastani wa bei kwa Box (40kg)
[/TD]
[TD]Shs 30,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gharama za uzalishaji - Miezi 7
[/TD]
[TD]Shs 600,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gharama za ujenzi wa Greenhouse
[/TD]
[TD]Shs 6,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla ya mapato
[/TD]
[TD]Shs 9,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa kwanza
[/TD]
[TD]Shs 2,400,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa pili
[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Faida Kuu msimu wa tatu
[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

UNAPATA: Madawa, Mbolea, Mafunzo, Msaada kwa kipindi cha msimu mmoja, Kalenda ya upigaji dawa na uwekaji mbolea

KUMBUKA:
Mteja unawajibika kuleta maji karibu na greenhouse
Upatikanaji wa maji au kisima cha maji ni wajibu wa mteja.

Tuombe mods waipeleke kwenye post ya kwanza/waiunge pale.

cc: Moderator
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa tuna greenhouse zenye vipimo hivi, 8mx15m=120sqm na 8mx30m=240sqm, ila kama unahitaji iwe tofauti tunaweza kukupatia pia.

Hakuna mtaalamu atakaye kushauri kupanda hoho na nyanya kwenye greenhouse moja kwa maana ni rahisi kuhamisha magonjwa na wadudu kutoa zao moja kwenda jingine. Ila wapo watu waliofanya hivyo na kufanikiwa, inahitaji usimamizi wa karibu tu.

Utaalamu huu unaweza kuupata hata huko Klm.

Mkuu nielekezi kwenye ofisi au kwa mtaalam wako nami nitamwendea mwenyewe wala si yeye kunitafuta. Pls
 
Kilimo kwanz kwanza hongera kwa kutuwekea kwa kiswahili chetu.
Aisee faida kubwa hadi naogopa,niliwahi kusikia hili kwamba zinalipa sana.
Wakenya wapo mbele kwa hili.

Sasa kama nipo sawa ni wastan wa 7m hadi 7.5 basi mtu anaweza kuwezesha kupata full green house ikiwa na kila kitu.
Maana mie nipo kwenye mkakati wa kutafuta ene chanika huko,nijenge makazi ya dumu sasa kilimo hilki kinanivutiaga sana hasa kwa mfumo wake kuwa rafiki hata Bibi anaweza kusimamia hata mtoto wa miaka 5 anaweza kusimamia.Raha sana.

Sasa nijuze kitu kimoja,mikoa ya pwani(Coastal regions) nasikia ila sina uhakika kwamba Greenhouse na mazao yake zinakuwa na matatizo kulingana na hali ya hewa ya ukanda huu.
Hembu tupe uelewa wako.
 
Mkuu Zanzibar Spices..
Ni kweli kilimo cha kutumia greenhouse kwa maeneo ya pwani kinasumbua kama nyumba ya mimea haikutengenezwa kuzingatia hali ya hewa. Nyumba inahitaji iwe ndefu kwenda juu vya kutosha ili kuruhusu mzunguko wa hewa ndani wakati mimea imeshakuwa mirefu, pia juu kwenye paa la nyumba linatakiwa kuruhusu hewa kutoka njee iwapo joto litazidi ndani. Nyumba itakayojengwa arusha au iringa sii sawa na nyumba itakayo jengwa tanga au Dar. Kuna mtu nilishawahi kumtembelea kigamboni nilikuta hoho zake zimedumaa kwa sababu hii, greenhouse ilikuwa fupi sana.

Ukisoma vipimo vya hiyo nyumba tunayo uza hapo utaona kwamba ni ndefu vya kutosha kwenda juu pia ina nafasi ya hewa kupita juu kwenye paa(Natural Ventilated Greenhouse)

Pia kuhusu faida ni kweli wapo watu wambao wanaozidisha sana faida za greenhouse, kwa mfano, ni kweli kabisa nyanya ya kuikuzia kwenye greenhouse itazaa kilo 25 kwa mche iwapo itatuzwa vizuri kama inavyotakiwa, pia ni kweli utaishi kwa miezi 10(life span) kama itahudumiwa inavyotakiwa, chukulia umepata soko lenye bei ya shs 2000/= kwa kilo, je kwa hesabu hizo unafikiri utapata shiling ngapi? Hapo ndipo watu wanapotea tu.

Hesabu nilizo zionyesha hapo ni za chini kabisa kwa uzoefu wetu, kilo 15 kwa mche na miezi 7(life span) kwa mmea, na hapo bado unatengeneza faida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom