Unahisi anamwambiaje

Hii report mzee wameonekana kama kunitaja, lakini walaahi simo, simo kabisa mkuu wangu. Nakushauri kabla ya kunikaba hebu jaribu pia kumbana "mtangulizi wako" maana nilikuwa napokea maelekezo kutoka kwake.
Chonde chonde poti
 
Nipe hiyo wizara ya madini mkuu nina uzoefu nayo sitakuangusha............
 
alafu inaonekan kama kinachosemwa hata hakimuingii mkuu akilini bali anasikiliza tuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…