Unafikiri nini kuhusu elimu ya Tanzania??

Unafikiri nini kuhusu elimu ya Tanzania??

IamDrSaid

Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
5
Reaction score
1
Finland ni moja wapo ya nchi zenye mfumo bora sana wa elimu duniania na watu wake wameelimika....vizur katika maeneo ya mawazo binafsi, ubunifu, vipaji nakadhalika....tunalipi la kujifunza kwa hawa jamaa

1.Kwanza wanapiga vita mithani ile ya kufanana ya kuchaguwa jibu sahihi

2. Mwalimu huwapa wanafunzi mapunziko ya dakika 15 kilaa baada ya kufundisha kwa dakika 45.....hivi huku mtoto la darasa la tatu katika yale masaa 8 shuleni ana pumzika muda dakika ngapi????.....darasani au sero

3. Ualimu kwao ni kozi ngumu sana kuingia...katika wanafunzi 10 wanao omba ualimu....mmoja ndio hupata nafasi

4. Walimu wanalipwa mishahara mikubwa sana na kufundisha kwa muda mchache kama wale waalimu wa vyuo... 5. Elimu ya juu na chuo ni bure no mkopo

6. Mtaala unajaribu kutambua kila mwanafunzi mmoja mmoja ana kitu gani cha kuazaliwa nacho.....sio kuona wanafunzi wote sawa nchi nzima masomo yale yale

Unafikri vipi kuhusu elimu ya Tz????
 
Elimu ya Tanzania majanga tupu. Waziri anataka kila mtanzania asome form six. Hatambui njia zingine za kuingia chuo kikuu.
 
Mimi nafikiria watu waishie la saba kisha wakajiajiri
 
Back
Top Bottom