hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,679
- 27,656
Katika eneo kati ya Urusi na Israeli
Kuna sheikh hapa Tanzania anatoa sana hotuba ya kuifagilia Urusi, akiipa sifa kana kwamba Urusi ni ukhalifa katika Uislamu. Waumini wanaomsikiliza, wanajawa furaha sana kwa hotuba zake. Hata huku mitandaoni utawaona 99% ya Waislamu wapo upande wa Urusi. Mfano sasa, Urusi ilipokaa upande wa Iran dhidi ya Israeli, wamefurahia na kuitukuza sana.
Unafiki wa Waislamu tunaupata kama ifuatavyo:
Georgia
Urusi imetwaa maeneo ya Georgia ambayo yamekuwa yanakaliwa na Urusi tangu Vita vya Urusi-Georgia mwaka wa 2008. Yanajumuisha maeneo ya Jamhuri Huru ya Abkhazia na iliyokuwa Ossetian Kusini
Ukraine
Kabla ya 2022, Urusi ilichukua kilomita za mraba 42,000 (16,000 sq mi) za eneo la Ukrainia (Crimea, na sehemu za Donetsk na Luhansk), na ikachukua kilomita 119,000 za ziada (46,000 sq mi) baada ya uvamizi wake kamili kufikia tarehe 20 Machi. 161,000 km2 (62,000 sq mi) au karibu 27% ya eneo la Ukrainia.
Hayo ni maeneo ambayo Urusi imeyakalia kinyume cha sheria. Kamwe huwezi sikia Waislamu hasa hawa wa kwetu wakilaani. Wao jicho lao lipo Israeli, wakiitolea laana usiku na mchana, kwamba inakalia maeneo ya Wapalestina kwa dhuluma. Huo ndio unafiki wao.
Huwezi kemea dhuluma A na kuhalalisha dhuluma B na zaidi unakaa upande wa huyo mdhulumaji B na kumshabikia. Hii inadhihirisha wingi wa unafiki mkubwa sana. Na hii inaonesha wazi kwamba hawawezi kukemea unyakuaji wa maeneo unaofanywa na Urusi sababu wahanga ni Wakristo. Hivyo pale Palestina, jicho lipo hapo kwasababu ya mambo makuu matatu:
1) Wapelestina 99% ni Waislamu
2) Wanaitaka Yerusalemu kwasababu ni mji mtakatifu wa tatu kwa dini ya kislamu
3) Yerusalemu kuna msikiti wa Alaqsa ambao wanaudhania ulijengwa na Suleman ingawa siyo kweli, ulijengwa karne ya 8 na khalifa wa Ummayad Caliphate.
4) Hawawapendi Wayahudi kiasili toka zama za mtume Muhamad aliyekufa kwa sumu iliyotiwa kwenye nyama ya Kondoo na mama wa Kiyahudi.
Kamwe huwezi msikia Muislamu yupo bize kulaani dhuluma zinazofanyika maeneo mbalimbali duniani. Maeneo yanayopigiwa kelele ni labda yenye kuugusa Uislamu na Waislamu basi. Lakini mgororo wa Palestina ndio kinara chao kulingana na mambo hayo manne tajwa.
Wasilolijua Waislamu
Urusi ni Wakristo wa Orthodoksi, wana jambo lao na Waislamu. Maana Uislamu ndio uliowaondoa Waorthodoksi kwa vita katika Siria, Kanaan, Misri, Iraq na Anatolia. Anatolia ndio Uturuki ya leo, eneo hili ndio kulikuwa na mji mkuu wa Waorthodoksi ulioitwa Kostantinopoli. Waturuki (Waislamu) waliubeba na kuufanya makao makuu ya Sultan wakati wa dola la kislamu la Othoman. Hii ilikuwa moja ya kufanikisha mpango kazi wa Uislamu wa kuitwaa maeneo yanayodhaniwa ni matakatifu kama Yerusalemu, kisha Kostantinopoli nk.
Waorthodoksi wanaumizwa sana na jambo hilo hadi leo hivi. Kupitia ufalme wa Urusi walijaribu kuirejesha tena Kostantinopoli mnamo karne ya 19. Ilikuwa ni manusura iangukie mkononi mwa Urusi, kama tu nchi za magharibi zisingeingilia kati ambazo ni Uingereza, Italia na Ufaransa. Waliingia kuiokoa Othoman iliyokuwa imezidiwa kivita na kupigika mno. Hivyo hadi leo hivi, Urusi wana ajenda ya kuirejesha Kostantinopoli. Hivyo Waislamu wanamshangilia adui yao wa zamani pasipo kujua hila yake. Sasa Putin ameonesha kama yupo karibu na Waislamu, huo ni uongo, bali ni siasa tu za kuwavuta nyuma yake dhidi ya magharibi. Ana jambo lake la kurejesha nguvu ya Waorthodoksi ya kihistoria. Na Waorthodoksi hawapendi waislamu, maana ni wahanga kwao. Maana Waislamu walifanya mauaji makuu ya halaiki kwa Waorthodoksi huko Armenia, hawajasau hadi leo hivi. Na izingatiwe kwamba Armenia na Urusi ni familia.
Na Jeff Massawe