Unafiki wa wanaChadema kwa Chadema

Kumpa U-PhD kilaza ni sawa na kumpa rungu kichaa, watakaoumia ni wengi.

Mag3, umefikia hapa??? ha ha ha

unasikia rumor, halafu unaishi nayo na unaitumia kama silaha...

are you serious??

hivi nini kimekupata mkuu??


ebu badilika bana, I expected some crical response kutoka kwako, hasa uniambie style ya chadema, plans, na kama nilichoandika ni uongo

unaniangusha mkuu, serious

account yako hii??

wewe si mlimsema sana zitto na tukawaambia chama kinakufa bila yeye

uko wapi uwezo wako wa kujenga hoja??

umenihuzunisha mku
nakutumia meseji inbox, hii sio wewe kabisa tunaiua JF bana
 

chadema imefikia kutegemea matamko ya KKT, angalican, RC..na wanadai na waislamu watoe

serious??? wamefikia huko


mungu wa chadema yuko ndani...kimya

hata kumkumbuka twitter,

kuna tatizo mahali,
 
ni kweli mbowe yuko ndani

ni kweli chadema iko kimya

ni kweli hamna la kufanya

hata ubunifu tu wa mitandaoni kumkumbuka mbowe siku ya pasaka hakuna!!

no drama, kuko kimyaaaaa..........

sio fair nyie wanachadema, sio
Kwahiyo unataka wanacdm wafanye vurugu iliujuwe umuhimu wa mbowe nafikiri ni ushauri mzuri tutaufanyia kazi hakika umesema kweli mbowe amekaa ndani kwasababu za kijinga eti gari la wafungwa ni bovu hakika wanacdm tunatakiwa kesho wote tuwepo mahakamani
 
Mtu akishakua ni mtu wa dhulma na mwenye kuminya haki simpendi.

Kwasababu watu hawajaingia mitaa, msifikiri wanamkubali magufuri.
Kwasababu tunasalimiana mtaani huku mme vaa mijezi ya kijani msifikiri tuna upendo sana.

Itafika siku tutaacha kuchukuliana poa, ipo siku.
 
Tuko bizy cc ,kesho tunaipokea ndege yetu ,chadema mtazidi kunyea debe tu .
 
kiukweli mi mwenyewe nilijua kuwa siku mbowe akikamatwa basi hakutakalika, ila imekuwa tofauti sana?
 
Halafu watu wanaweza kusema wataandamana tarehe 26.. hivi kama kuna kuandamana si ingekuwa wakati viongozi wakuu wa upinzani wako ndani? watu walitaka kula Pasaka kwanza.. Upinzani sasa hivi ni dhaifu sana...

haitatokea wakaandamana

chadema wamekaa mbali na jamii kwa matendo yao, hauwezi ukapinga tu kila kitu, ukawa mtu wa chuki tu halafu yasikurudie

najua wewe ni mmoja wa watu ambao innocently umeshauri sana kwa miaka kumi sasa chadema ifanye nini katika kila situation!!.wamekutukana na hatuoni mbadala wa yale mashauri yetu

imeisha kwa kweli
 

sure keshi mjae pale

ila ukweli mkuu hata twitter,fb kutoa maneno ya kishujaa ya kuwakumbuka makamanda kimya!!

mkuu kisiasa Mbowe alitakiwa aamshe amshe mambo mengi sana sikukuu hii
 
Halafu watu wanaweza kusema wataandamana tarehe 26.. hivi kama kuna kuandamana si ingekuwa wakati viongozi wakuu wa upinzani wako ndani? watu walitaka kula Pasaka kwanza.. Upinzani sasa hivi ni dhaifu sana...
Nasikia maandamano ya tarehe 26 hayana vyama, ni ya Watanzania kwa ujumla wao waliochoshwa na utawala wa kiimla wa dikteta uchwara usioheshimu sheria, kanuni wala taratibu. Wengi wa waandamanaji si ajabu wakawa kutoka Chama tawala na wasiokuwa na chama ambao ndio wengi nchini...tusubiri tuone.
 



Ni maajabu mwana ccm kuumwa roho na unafiki wa wanachadema kwa chadema!

Ukiona mwanaccm anageuka mshauri maalumu kwa chadema then ogopa sana!

Kimbia ufe!
 
Kitu nilichojifunza ni inabidi Mbowe ajifunze kubadilika kwa njia ngumu kidogo ndio atasaidia hata hawa washabiki kuelewa siasa zinapaswa kwenda vipi. Huwezi kupinga kila kitu ukaonekana mzima. Inafikia hatua watu wanashabikia serikali ikishtakiwa na mabeberu! Hawajadili constructively bali kejeli na kila dalili hata za kushirikiana na hao wanaotushtaki! Huu uzandiki haukubaliki!!
 
Ninachoona ni baadhi ya watu kuyaunga mkono hayo maandamano indirectly. Kuunga mkono na kuandamana ni vitu viwili tofauti.

Ninachoshangaa ni kutegemea watu waandamane ambao hata kukiri kijasiri kuwa wataandamana wanaogopa.

Ila msijekuwaingiza chaka watu hasa wanachama wasiojielewa wakafanywa mfano nyie mkiwa makwenu mkifatilia kwenye tv.

Siasa za kijasiriamali zimetuchosha. Watanzania watapofikia wakichoshwa na serikali wala hawataambiwa cha kufanya na yeyote. Watachukua hatua ngumu wenyewe.
 
Waberoya kwa kweli chama kikuu cha upinzani tz kinaitaji maombi sijui ni nini kimewakuta na cha kushangaza ni kwamba wamesahau kuwa walikuwa wanapata support kubwa kutoka kwa wa tz wenye hali ya chini na sasa wanapata support kutoka kwa baadhi ya watu wenye hali ya kati na sana hali ya juu hii inatokana na kuwa magufuri now ansuppot kutoka kwa watu wa hali ya chini kutokana na siasa zake hapo ndio napokubaliana na wewe kuwa chama kikuu cha upinzani kinaitaji kulijui hili na kubadili aina ya siasa zake maana watu wa hali ya chini ndio wapiga kula kuendelea kumchafua na kumchukia magufuri ni kuendelea kupoteza uungwaji mkono kutoka katika kada ambayo ndio tegemeo kipindi cha uchaguzi
 
Wasomi km hawa ndo wa kupiga marungu ya kichwa km anavyopigwa Mkuu wa meza,Msomi asiyejielewa ss kasoma nn??eti Engineer zao la UDSM na U-phd uko njiani kabisa,elimu yako haina maana km huna uwezo wa kutafakari mambo ktk Jamii kwa jicho la mbali.
 
Eti unasema Chadema wana matusi,chuki na kebehi kwa serikali?Kwani hiyo serikali unayoizungumzia lin iliwapenda Chadema zaidi ya kuwabeza na kuwaita wanafiki tu,kuwabambikia kesi!!!!hulion hilo?By the way unasema Chadema ingeunga mkono serikali kwenye juhudi za kutetea rasilimali ?Ivi ulishawahi kujiuliza agenda ya ufisadi waliianzisha Chadema,Serikali au JPM alishawahi kuipongeza Chadema kuibua ufisad na kuipigia kelele na vivo hivyo kwenye madini Chadema walipiga kelele juu ya sheria mbovu!baada ya kupongezwa leo wanaitwa wakala wa mabepari!???Alafu ndo umuunge mkono JPM kwa lip?wakati vibaraka kama nyiny mlkua mnawaita Chadema ni wazushi awamu ya 4 eti leo mnajifanya watetez!!!Bro tafuta kazi nyingine kutetea unafiki na wanafiki sio kazi ndogo!
 
Waberoya brother ndio reasoning imeshuka kiasi hiki??

Kwani wewe ulitaka mbowe akiwekwa ndani CHADEMA wafanye maandamano ili mseme wanaingilia uhuru wa mahakama???

Kama CHADEMA as u claim haina mass support unatumia vigezo gani?? Kwanini hamruhusu maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa ili tujue mbivu na mbichi sio mnakuja na kejeli kuwa CHADEMA haikubaliki kwa wananchi ilihali hamruhusu wafanye mikutano

Walivyopokwa haki ya mawakala wao kwenye uchaguzi waliandamana kwa uwingi tu mkaishia kuwapiga risasi na mkatupa lawama nyingi kwa mbowe hadi mkawafungulia kesi alafu leo hii unakejeli kwamba hakuna anayeandamana ilihali unajua wakiitisha maandamano mtayazuia na zaidi mtawaua watu

Kuhusu kuunga mkono umetoa hoja mfu kabisa hayo unayosema yameshaongelewa sana kwenye bajeti kivuli na ripoti za wizara kivuli zinazosomwa bungeni wakati wa bunge la bajeti yaani wanachukua hoja za serikali kuu na kuzitengenezea hoja mbadala sasa kivipi unajifanya ndio unashauri CHADEMA wawe na sera mbadala ilihali zipo zinasomwa kwenye hotuba za kambi rasmi ya upinzani kwa wizara mbalimbali???

Shida ya wana JF wengi tunapenda kuandika kabla ya utafiti nashangaa waberoya wa enzi zile ulikuwa na nondo kweli zimeshiba siku hizi umekuwa wale wale kama polepole unaongea kwa kukariri sio kitafiti

Nikuulize nipe kitu kimoja tu ambacho upinzani wamepinga.... Nitajie kimoja tu hapa
 
Chadema sasa wamehamia mitandaoni kubweka tu
Mbowe akitoka kesho atakua amejifunza kitu
Unataka waandamane tena ili muwashoot kama yale maandamano yaliyomtoa uhai akwilina??

Sijui wana CCM mnataka upinzani ufanyeje.... wasipoandamana mnasema mbowe atajifunza haya wakiandamana mnasema wanapenda vurugu!!! Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…