Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu!
Kwa mtindo huu sisi wananchi tunawaona kuwa UKAWA mna ajenda ya siri na hakuna maslahi yoyote ya umma mnayoyatetea! Ndio maana mnazungumzia na kukomalia muundo wa utawala tu ila mambo yanayogusa hasa maisha ya kila siku ya mwananchi wa kawaida, eg haki za wazee, vijana, wanawake, nk sio tatizo kwenu!
Acheni unafiki wana-UKAWA!
Kwa nini UKAWA wanamfumbia macho Warioba na kumwona ni "mungu-mtu" wakati kachakachua maoni ya "wananchi walio wengi?"Nyie wananchi au nyie wana CCM?
Kwa hiyo kwenye hizo asilimia 19 mlizobadilisha hao wananchi wa Zanzibar mmewawekea huo muungano wa mkataba?
Usije ukasema kuwa haukuwemo kwenye rasimu maana hata hiyo ya serikali mbili mliyoweka haikupendekezwa na rasimu ya Warioba, ilitajwa tu kama ulivyotajwa muungano wa mkataba.
Fafanua mkuu, uchafu uko wapi hapa?
Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu!
Kwa mtindo huu sisi wananchi tunawaona kuwa UKAWA mna ajenda ya siri na hakuna maslahi yoyote ya umma mnayoyatetea! Ndio maana mnazungumzia na kukomalia muundo wa utawala tu ila mambo yanayogusa hasa maisha ya kila siku ya mwananchi wa kawaida, eg haki za wazee, vijana, wanawake, nk sio tatizo kwenu!
Acheni unafiki wana-UKAWA!
ww mwenyewe mchafu mpaka unanuka ila hujitambueLabda unafiki wa wana-UKAWA ndio uchafu wenyewe!
Mkuu,Buchanan, kama ulichokiandika hapa unakiamini 100% naomba uandike maneno yafuatayo neno kwa neno:
"Mungu wa Israel, naamini kuwa upo na unaishi milele, nilichokiandika hapa JF ni cha haki. Na kama nilichokiandika hapa JF si cha ukweli na huku najua kuwa si cha ukweli basi adhabu yako ya haki na iwe juu yangu milele"
Labda unafiki wa wana-UKAWA ndio uchafu wenyewe!