Unafiki wa wabunge wanasiasa

Unafiki wa wabunge wanasiasa

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Wakuu nimeoona huu ujumbe Tanuru la Fikra FB nimeona ni vyema tukashare.

Huu ndo unafiki wa wabunge wanasiasa: wamejiongezea fedha kutoka m60 mpaka m160 hakuna mbunge anayepinga hili si kutoka Chadema, Cuf wala CCM na hata wale wanaopiga kelele kutoka katika hivyo vyama ni wanachama na viongozi ambao si wabunge. Chadema wanajiita nguvu ya uma, sauti ya wanyonge.

Cuf
haki sawa kwa wote. CCM maendeleo ya mtanzania. Mbona hatusikii hizi kauli kupinga ongezeko hilo la mkono wa kwaheri ?wabunge wote wamekuwa mabubu mbaya zaidi walipitisha kinyemela ili wananchi tusijue

Madiwani hawana mshahara mpaka leo wao wanajiongezea fedha, hali kadhalika wenyeviti wa vijiji etc. watumishi wa serikali ndo wako hoi kwenye mishahara.

Wazo langu hivi kwa nini watumishi wa serikali wasianzishe chama chao cha siasa kitakachotetea masilahi yao badala ya kutegemea hawa mafisadi wanaojificha nyuma ya umaskini wa watanzania.

Jamaa akaenda mbali zaidi soma hapa.

Kwenye hili la ongezeko la fedha za wabunge wala sitachelea kumwita Mnyika-Dhaifu, Lema- Mzigo na Mbowe-Msaliti (ametusaliti watz).

Hapa wamepotoka na ni lazima tuwaeleze ukweli hata kama tunapenda siasa zao.
 
Wapi Kangi Lugola na Deo Filikunjombe? Wapi makamanda kwenye kiinua mgongo, kimyaa. Nyie wote wachumia tumbo na wanafiki....
 
Wapi Kangi Lugola na Deo Filikunjombe? Wapi makamanda kwenye kiinua mgongo, kimyaa. Nyie wote wachumia tumbo na wanafiki....

Ndg yangu ni mangapi Jamaa wa CDM wamepigia kelele mwisho wa cku mmeishia kuwananga! Leo ndo mnakumbuka acheni hizo cha muhimu kubadilisha system basi 7bu cdm bado wanaongozwa na ccm ndo yenye Serikali,Yote walioyapigania cdm km yangekubaliwa NCH hii ingekuwa mbali sana! Subiri Bunge la KATIBA ndo utaelewa!
 
Chadema wanakataa mdomoni tu lkn mfukoni wanazikunja kama kawaida
 
Wabunge wote wa tanzania watafikia motoni kama kweli moto upo hii si haki badae wanaanza kupeana kashfa Tunduli alichukua?
 
Dr Slaa ameshalitolea ufafanuzi hili na kulipinga kuwa linaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi!

Kazi kwenu wananchi!
 
It's too much but this has been said several times the good thing is to focus on how we r going to educate our fellow comrades as well as the community of Tanzanian's that "WE CAN CHANGE THE SITUATION IF ONLY AND ONLY IF WE BECOME PART OF THE CHANGES WE WANT TO SEE 2015 tukutane Kwenye SANDUKU LA KURA
 
kajirita Slaa alisema wabunge wake wa cdm walikuwa wapi wakati hilo linapitishwa? Na alisema wabunge wa cdm watachukua hatua gani? Maana mimi sikumsikia naomba nifahamishe ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:

Hiyo ni obvisious kwamba wanachama wa CCM wakitaka kupitisha azimio lolote ndani ya bunge basi litapita!
Kwa hiyo wa kuwalaumu sio chadema Bali ni wabunge wengi wa CCM mliowachagua!
 
Labda we ndio uliwachagua ccm, nisaidia basi uniambie wabunge wetu wa chadema lini walipinga hilo suala bungeni?
 
Back
Top Bottom