chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,134
Inasikitisha sana.Siu hizi ndugu Polepole anafikiria polepole SANA!Polepole anajitoa ufahamu kwa tamaa ya madaraka, anataka kupata wadhifa kwa style ya makonda. Anajua sana asemacho si sahihi ila njaa yakutaka madaraka inamfanya awe changudoa wa siasa.