Unafiki wa John Pombe Magufuli

Unafiki wa John Pombe Magufuli

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.
 
Acha mambo ya ajabu mkuu magufuli ni zaidi ya kiongozi siyo kama unavyodhani wewe kwenye fikra zako.
 
mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi.... hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo tanesco mikocheni hadi mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekua kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo meng yenye kero kama hyo ila huyu bwana anayaogopa

hivi kutoa hati za viwanja si kazi ya wizara ya ardhi. wizara ya ardhi imewapa hao watu haki za kumiliki hayo maeneo kabla magufuli hajawa waziri,akibomoa ATAKUWA HASIMAMII 'SHERIA' ILA ANAVUNJA. unakumbuka nini kilitokea kwa yale maghorofa yaliyoamriwa kuvunjwa na PM mstaafu??? walimlipa na maghorofa yamesimama vilevile. hapo ni mpaka walipwe. ni maoni yangu tu naweza kuwa siko sahihi vilevile
 
kama unasema ni kazi ya wizara ya ardhi KWA HIYO NYUMBA ZOTE ZA VIGOGO/WANASIASA ZILIZO KWENYE HIFADHI YA BARABARA ZINASHUGHULIKIWA NA MAMA TIBAIJUKA alafu zote za walalahoi zinashughulikiwa na magufuli.??
 
Acha mambo ya ajabu mkuu
magufuli ni zaidi ya kiongozi siyo kama unavyodhani wewe kwenye fikra
zako.

Tukubali tu Magufuli ni dhaifu kazi zake zinaeleza hivyo hata kama unampenda. Barabara nyingi ziko chini ya kiwango. Njoo Turiani uone aibu ya Magole to korogwe road mwaka wa kumi wanachimbachimba na hakanyagi hapo kwasababu azijuazo.
 
kama unasema ni kazi ya wizara ya ardhi KWA HIYO NYUMBA ZOTE ZA VIGOGO/WANASIASA ZILIZO KWENYE HIFADHI YA BARABARA ZINASHUGHULIKIWA NA MAMA TIBAIJUKA alafu zote za walalahoi zinashughulikiwa na magufuli.??
Mnamwonea tu Magufuli,hilo swala la viwanja vya pale mayfair ni swala la manispaa ya kinondoni, na wizara ya ardhi. ila nataka kukueleza kuwa katika watu ambao ni wachapa kazi magufuli naye yumo. mapungufu anaweza kuwa nayo kama binadamu na kutokana na system iliopo yeye sio mungu,hata akina nyerere,mandela,kennedy,mao papa john paulo wa II nk wate hao leo wanaheshimika lakini wamefanya makubwa kwa nchi zao. nataka nikueleze kitu mrembo mashalaah wewe hapo ungepewa ile wizara ungefanya nini? si ajabu ungebaki kubwelabwela tu kama wengine.mwacheni magufuli afanye kazi yake bwana,myonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
none sense....nyumba zingne za walalahoi anazovunjaga na kutoa lugha za kejeli kwa nini nazo asiachie manispaa?
 
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.

magufuli mkwala tu ona strabag wanavyofanya kazi inaonesha wamefeli.....alafu hao hao strabag walishafukuzwa ulaya na hawapewi kazi huko ndiyo wameletwa africa tanzaniaa na wamepewa tenda....magufuli angekua imaraa si angelijua hilo kablaa
 
kama unasema ni kazi ya wizara ya ardhi KWA HIYO NYUMBA ZOTE ZA VIGOGO/WANASIASA ZILIZO KWENYE HIFADHI YA BARABARA ZINASHUGHULIKIWA NA MAMA TIBAIJUKA alafu zote za walalahoi zinashughulikiwa na magufuli.??
Kiongozi,

Kuna barabara zilizo chini ya Magufuli, na nyingine ziko chini ya serikali za mitaa.
 
magufuli mkwala tu ona strabag wanavyofanya kazi inaonesha wamefeli.....alafu hao hao strabag walishafukuzwa ulaya na hawapewi kazi huko ndiyo wameletwa africa tanzaniaa na wamepewa tenda....magufuli angekua imaraa si angelijua hilo kablaa

Strabag ni mradi 'maalum" chini ya ofisi ya Waziri Mkuu.
 
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.

gongo na bangi unavyotumia vimekushinda, utakuwa kichaa muda si mrefu viache
 
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.

"Kama hamtaki nibomoe basi rudini hapa bungeni mpitishe sheria ya barabara kuwa na upana hata wa rula na nitasimamia hiyo rula moja. Nasimamia Sheria mliyitunga wenyewe" Magufuli 2011.

Shida siyo magufuli shida mabosi wake.
 
magufuli mkwala tu ona strabag wanavyofanya kazi inaonesha wamefeli.....alafu hao hao strabag walishafukuzwa ulaya na hawapewi kazi huko ndiyo wameletwa africa tanzaniaa na wamepewa tenda....magufuli angekua imaraa si angelijua hilo kablaa

weka link tafadhali......!!!!
 
Back
Top Bottom