Unafiki wa dokta Rwaitama


Huyu docta ni mmoja katika wale madokta ambao wawepo CCM au upinzani Ha-ADD VALUE ndio maana hakuna chama kiwe CCM au cha upinzani kinachompapatikia ajiunge nacho.Afaa tu kwenye cheap talks za media.
 

Ikiwa yote aliyozungumza hujaona unafiki na ni hili tu ulilotaja hapa basi ubongo wako utakuwa na wadudu asee
 
Usimguse mwalimu wangu wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni mnafiki. Ni ccm bt passive member
Soma waraka wa mwalimu wako uone alivyowaponda CCM na kuwasifia CDM hasa kwa maamuzi yao recently
 
Jf kama hujaisifia CDM basi wewe utaitwa mnafiki tu! Wala hiyo cdm yenyewe haina la maana ni udini na ukabila tu.

inaonekan una makengeza! jaribu kutumia jicho moja kuusoma uzi, lingine lifumbe na kiganja, halafu usome thread ya jamaa then uchangie kulinga na uzi unavyosema.
 
Usimguse mwalimu wangu
wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni
mnafiki. Ni ccm bt passive member

Hawezi kua mwalimu wako yule kwa ulivyo na akili ya kushikiwa! inawezekana ulkua unavizia tu vipindi vyake Yombo mpaka Theatre....!
 

Hamna mwema nyie. Leo hii Dr. naye kawa mnafiki? Ama operesheni ondoa wasomi CHADEMA imepamba moto.
 

TAFAKURI TUNDUIZI we ndo mnafiki.
 
Wenye ushaidi wa kuwa mnafiki wauweke hapa jf,kwa kuwasaidia kama kweli unasema ni mwanachama wa ccm,basi pale anapoishi najua kuna tawi basi ufuatilie kuona analipia ada ya chama ya kila mwezi/mwaka. Vinginecyo tutakuona na wewe mnafiki tena usiejua lolote zaidi ya kufuata mkumbo na upepo unavovuma, acha ushabiki
 
inakuaje wakati mwingne anasema yeye ni mwanachama mfu?tumuelewe kwa lipi?msomi gani anakua na kauli zinazo kinzana?


Pengine haumuelewi anapojiitaga CCM mfu,kwa ufupi hakubaliani na CCM ya sasa,na watawala wa sasa,anaikumbuka CCM ya zamani na kina Nyerere!! Kikubwa ni miiko na uadilifu vya CCM ya sasa na ya kale!!
 


Ndugu pole sana kuna uwezekano unatumia AKILi nyingi sana kufikiri na kumuelewa Dr. nakushahuri kamsome tena, Kuna sehemu anasema CCM ya sasa itasambaratika na kubaki wale CCM wenyewe original hapo tu, itakapo toka madarakani kwani mafisadi na mabepari watakuwa hawana cha kuchukua na kubebwa tena na CCM ambayo haipo madarakani na hapo ndipo yeye atakapo rudi CCM.
 
CCM bila ya aibu wanaongelea udini na ukabila humu.kuweni makini na kauli zenu.mambo ya kitaifa yapo,haki,madawa ya kulevya,elimu,afya,ufisadi,urasimu,rushwa,wizi,mikataba mibovuajira.wake up
 
inakuaje wakati mwingne anasema yeye ni mwanachama mfu?tumuelewe kwa lipi?msomi gani anakua na kauli zinazo kinzana?

Na hutakaa umwelewe hata siku moja. Sio kosa lako ni sababu ya upeo mdogo; halafu eti unajiita .. "mdoe the thinker" !! teh teeh teehh . Wenye vituko wako wengi humu!
 

hivi huyu dingi alishastaafu?nakumbuka alikua philosophy unit pale udsm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…