Unafiki wa Chadema Ni Huu

wanafiki ni CUF na uzandiki wao wa kutaka kuuvunja muungano. Wakifanikiwa utawasikia wakiidai Unguja na wenzao PEMBA.
Kumbukeni busara na hekima za baba wa Taifa hili hayati mwl. Nyerere. shauri yenu
Hoja dhaifu. Nyerere sio Mungu.
 

je maudhui makubwa yako ni haya hapa? if u read between lines, is this your main theme?

,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ?

umetumwa na nani? kwa nini utake chadema ikusaidie kwenye hilo?
 
Mkuu, unaweza kutukumbusha siku ambayo CDM waliwahi kuhubiri issue ya serikali ya Tanganyika?, usiwe mzushi, uongo ukirudiwa rudiwa mara nyingi huanza kuonekana kama ni kweli!
 
uji wa chumvi nao kumbe unapunguza uwezo wa kufikiri!!!!!!!
 
Ni bora kuuliza kwanza kuliko kupost mambo usiyoyajua! owkey kwa kukusaidia tafuta DVD ya m4c dar mpk moro itakujibu!
 
Ni bora kuuliza kwanza kuliko kupost mambo usiyoyajua! owkey kwa kukusaidia tafuta DVD ya m4c dar mpk moro itakujibu!
 
Bara hatutaki hata huo muungano wa mkataba.

Tunataka wazanzibar mvunje muungano na kila upande uanze kuendesha mambo yake.
 
Kwani Z'bar si ina mikoa ya Tanzania jamani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…