Sielewi leo chama tawala kinadai kumuenzi Mwalimu kwa swala moja tu kati ya yote aliyokuwa akipigania Mzee wetu Nyerere la kutaka serikali mbili ktk Jamhuri hii... huu ni utani sana.
Nadhani kumuenzi kweli Mwalimu, kwanza warudishe miiko ya viongozi na ikiwezekana kurudisha Azimio la Arusha au kuliboresha zaidi. Biashara zote nchi hii zilizo halali na zisizo halali ni za viongozi ama vibaraka wao. Utawala wa sheria kwao haupo na sheria ni kwa wanyonge tu...wao ni juu ya sheria. Ccm rushwa kwao sio tatizo kabisa na haliwakeri hivyo ni tatizo lililopewa baraka zao pamoja wanaona nchi inadidimia kwa rushwa na wananchi wanateseka sana....sio kipaumbele kwao.
Leo ninavyosikia wanavyojifanya kumuenzi Nyerere kwa swala moja tu la muungano katika maswala mengi na ya muhimu zaidi aliyokuwa akipigania Baba wa Taifa....nawashangaa hawa watu. Wanafiki waliokithiri