Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,596
- 93,316
Wao kazi ni kumdanganya Zitto Kabwe tu, na yeye anashindwa kusoma Sinema ndogo za mgandisho kama hizi?Haji mtu hapa kujibu. Labda umpigie Nape kama atakubali kumeza hii ndoano atakuja
Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?
Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.
Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
Na wewe utakuwa kanjanja wa nani mkuu!Unaumwa tumbo....tetea chama chako.....nape kwa kuweka makanjanja mitandaoni...angeweka vichwa labda vingemsaidia.
Hopeless.
Na misukule ya masopakyindi inasemaje juu ya kugombea Urais kulingana na matakwa ya katiba?Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
Na misukule ya masopakyindi inasemaje juu ya kugombea Urais kulingana na matakwa ya katiba? Nimesikia misukule hiyo ikidai katiba ya Tanzania ibadilishwe ili Zitto apate nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya Uraisi ataisinginya katika - very democratic indeed!
unataka chama tawala kiige mifumo ya wapinzani? Chama tawala kina taratibu zake za kumpata mwenyekiti.
wewe popo umeulizwa kuhusu magamba,sema jibu sio swali.na misukule ya chadema inasemaje juu ya demokrasia ya urais kwa kupitia chama chenu?
Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
Common sense dictates that, ukifikiri kidogo tu,na ukalipatia jibu swali langu, basi hata swali la awali utakuwa umelijibu.wewe popo umeulizwa kuhusu magamba,sema jibu sio swali.
to hell with your senseless arguing.Common sense dictates that, ukifikiri kidogo tu,na ukalipatia jibu swali langu, basi hata swali la awali utakuwa umelijibu.
Somebody said , mamajack, common sense is not so common!!!
Dont expose your lack of intellect.to hell with your senseless arguing.
.
kichaa huona aibu kuongea ukweli.nenda cilos kasome vizuri.Dont expose your lack of intellect.
mamajack , una watoto?kichaa huona aibu kuongea ukweli.nenda cilos kasome vizuri.