GE2025 Unafiki unaendelea, Shigongo amepiga magoti anaomba kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini.

Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kusini Dkt.Kikoyo, Mgombea Udiwani Kata ya Muleba pamoja na wagombea wengine wa CCM katika uchaguzi unaotarajiwa Oktoba 29
Kitendo hicho kimeonesha unyenyekevu wa wagombea na mshikamano wa viongozi kuhakikisha maendeleo endelevu na amani katika majimbo yote.

Your browser is not able to display this video.
 
Akili tuu, baada ya kupata uongozi ni mwendo wa kuja kujazana Dar 🔥
 
Uchaguzi hamna atulie alete season 2 ya “RAIS ANAMPENDA MKE WANGU” kwenye magazeti yake ya udaku 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…