Unafanyaje ukifumania?

wala haujamfumania lolote, anakula raha zake na cngle mwenzake, kodi, cjui gari hivyo ulitoa sadaka tu, ulitaka awe na wewe mpaka lini wakati we una familia yako?
 
haaa chako tena, vitu vyote kwenye risiti c vimeandikwa jina langu? chako kitoke wapi......ningekuwa mie uchukui kitu walllah.
 
Nyumba nyingi ndogo kiondoka kurudi nyumbani kwa mkeo, ujue kuna mtu anakuja kulala usiku!!! Kwani una mkataba naye. Matatizo tunayataka wenyewe!!!
 
haaa chako tena, vitu vyote kwenye risiti c vimeandikwa jina langu? chako kitoke wapi......ningekuwa mie uchukui kitu walllah.

Wewe unasema tu gari ina jina langu kwenye blue card, nyumba nimekupangia mimi sema kuna mianaume mingine records kama hizi iwa inapumbazwa kabisa na kujisahau kama huyo ndo mke wake kumbe kimada tu.
 
kwanini uwekeze namna hiyo kwenye nyumba ndogo, lazima ujuwe huwezi kumfanya nyumba ndogo kama mtumwa yaani ukienda kwako yeye alale pekeyake ahaaa wapi, swali lingine ni kwamba hiyo nyumba ndogo haiwezi kuja kuwa nyumba kubwa kwa mtu mwingine? maana kumfanya mtu nyumba ndogo ni kumnyima uhuru wa kuwa nyumba kubwa pindi akipata kipendacho roho
 
Wewe unasema tu gari ina jina langu kwenye blue card, nyumba nimekupangia mimi sema kuna mianaume mingine records kama hizi iwa inapumbazwa kabisa na kujisahau kama huyo ndo mke wake kumbe kimada tu.

nani atakubaliana na hilo? kuanzia mwanzo nakuseti kila kitu kiwe chini ya jina langu, hujakutana na mwanamke mjanja halafu mkimya wewe....c mnayataka wenyewe?
 
Lazima uelewe kwamba hii nyumba ndogo na yenyewe inataka baadae iwe nyumba kubwa so mwache dogo aendelee kukandamiza na kama vp kubali we ndo uwe mwizi.Ukifanya hvyo wala hautaona au kusikia pressure ina panda au kushuka!

umemjibu vizuri sana, nyumba ndogo lazima na yeye anataka aje kuwa nyumba kubwa kwa sababua , wewe ni mume wa mtu una nyumba yako unakuja kwa kuiba na kuondoka na yeye anataka uhuru na antaka heshima, siyo sababu unahudumia ndo uitawale ,mpaka future yake, kama wewe ni mume wa mtu jua huyu ni binti ipo siku atapata wa kwake na ataolewa, unaweza ukawa mwisho wenu aua kama huyo binti atataka atakufanya mwizi.
hilo jambo ungetakiwa ulitegemee wakati wowote unashtuka nini sasa?
 
nani atakubaliana na hilo? kuanzia mwanzo nakuseti kila kitu kiwe chini ya jina langu, hujakutana na mwanamke mjanja halafu mkimya wewe....c mnayataka wenyewe?

Dah mambo mengine bana sasa Jitu zima linamnunulia gari hawala na kijijini kule kuna wajomba zake wanapigika na maisha pambaf kabisa
 
Dah mambo mengine bana sasa Jitu zima linamnunulia gari hawala na kijijini kule kuna wajomba zake wanapigika na maisha pambaf kabisa

nini kijijini, wakati mwingine akitoka nyumbani asubuhi akiambiwa sugar imeisha anamraukia mama balaa, akitoka nje ndio hayo.....
 
Mzee wa kusambaza malaria,

ukimfumania mkeo unatakiwa ujifanyie evaluation wapi unakosea mpaka usaidiwe?
 
mi nafunga zangu malango naondoka ntarudi next time dogo akiwa hayupo
 
Halafu akishaukwaa mnaanza kusema alikufa kwa ngoma na kushangaa kaupataje huyu mzee wa kanisa
 
Ukibeba ulivyomnunulia, na utamu wake aliokupa siku zote hizo utamrudishia!
 
wala haujamfumania lolote, anakula raha zake na cngle mwenzake, kodi, cjui gari hivyo ulitoa sadaka tu, ulitaka awe na wewe mpaka lini wakati we una familia yako?
du,haya bwana.
 
Brooklyn, MwanajamiiOne na Shishi watakutoa utumbo leo!
 
Na vibabu vingi vinakumbana na huo muziki small house nayo inakuwa na dogo wa kustarehe nae maana babu goli mmoja anazimika na binti anakuwa bado anadai so anahitaji dogo ambaye akiwasha mashine ni mpaka lukwili....Wanayataka wenyewe hao...
 
Labda unaitwa "baba wa heshima" lakini kwa mtaji huu we ni firauni unayejibaraguza tu, na hapo umepangwa tu, kwa sababu as much as wewe ulivyo na haki, huyo dogo pia ana haki, wote hamjaoa hapo.Actually I take that back, wewe huna haki kwa sababu umeshaoa and I take it kikristo, since ume volunteer uzee wa kanisa and all, huyu dogo kama hajaoa basi huu unaweza kuwa mzao wake, wewe unamzibia tu. Huko kujipendekeza kwingine ma investment yako ungeyapeleka kwa mkeo/ biashara zako mwenyewe ingefaa zaidi.

Hapo hujafumania per se, mmekutana tu katika mgongano wa magari.Beef yako itakuwa katika betrayal, kwamba umedanganywa, lakini ulitegemea nini wakati wewe mwenyewe unadanganya watu kwamba ni mzee wa kanisa na mkristo mzuri.

Wanasema auaye kwa upanga hufa kwa upanga, anayeendekeza wizi huibiwa hata kile alichoiba.

Hapo hakuna la kufanya zaidi ya kufunga mlango, kuondoka na kwenda kumuangukia mkeo na kutubu.Zaidi ya hapo uende kufanya test zote za magonjwa yanayoambukizwa na kujamiiana kuanzia ukimwi mpaka kisonono na kaswende, bila kusahau chlamidia na mawenge wenge mengine yote, ili usije kumuambukiza mkeo na kuleta janga lingine.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…