Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

ktk zote haipo
MM NAJISWAFI KWANZA HATA KWA KUFULI LAKE
 
napiga puli maana mie bila hiyo kitu ,the day is not complete
 
Kunawa haraka sana, then ndio stories. Faida ya kunawa ilimponyesha Mr. Zuma tusiidharau
 
normally no.3 and no.8, kushukuru muhimu mana bila mumeo ungepatia wapi hizo raha,mmepeana raha so kushukuru muhimu ikifuatia na kiss paji la uso la kushushia :A S thumbs_up:

mhhh shem...wacha bana!
baba nani kumbe mtaalam maana mpaka akufikishe point ya kushukuru si mchezo??!
 
Tunajadili mechi ya kesho
 
Tunaanza kumshangaa MUNGU alifikiria nini kuweka kamchezo kama hako ambako baada ya kumaliza unaanza kujiuliza mielimu yote hii tuliyonayo na heshima zote mbele ya jamii..., kumbe tunafikia kufanya vya hivi katika utu uzima wetu jamani..., we acha tu!
:target:
 
Inategemea na gemu limeishaje,wengine huacha wenza wao wamezimia.
 
Nahakikisha pesa zangu nimezificha vizuri, nabakisha kidogo kwenye wallet (geresha)
 
huwa natafuta kibox cha first aid kit, coz wengi huwa nakuwa nimewaumiza kinyama,,,
 
Ukiwa guest
ni kuoga na kusepa
ukiwa kwako
unamkumbatia mwenza ma kupumzika
 
ukiwa umelala na Bujibuji anakufuata hukohuko uliko geukia, ukigeukia kwingine anakufuata tena, hadi wee mwenyewe utarudi kwenye namba 9

safi.... .ni nzuri hiyo....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…