Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Wachina ni wachapakazi sana, wabahili sana, wambea sana, wanapenda sana sigara lakini pia ni wezi sana.
Ukipata kazi kwa wachina ujue utafanya kazi kweli kweli, iwe ni kiwandani, barabarani au popote pale. Kuna siku nilikuwa na boss wangu tukawa tunatafuta sehemu ya kuweka machine za dubwi, bilikuwa kazi ngumu kushawishi mtu akubali dubwi kwa sababu wengi wa wateja wanakataa wanasema dubwi linaleta wezi na mimi muda huo nimetafuta sehemu 20 tokea asubuhi hadi muda huo usiku na hatujala bhasi akawa hajaridhika akanioneshe nikaulizie tuweke dubwi salon ya kike eti nikimshawishi mteja ananipa 5000.
Aisee nilimuangalia sana halafu sikufanya kitu nikazama kwenye waleti nikatoa 20000 nikamwambia aendee yeye wakikubali nitampa hio 20000 kisha nikalaza siti ya gari nikalala, alitoa macho alishangaa nimepata wapi ujasiri. Tokea siku hio hakuwahi nituma kazi ya kijinga.
Ubahili wao ni mkubwa jamaa hawabadi nguo kila siku ni hiohio, kingine mchina usimpe siri yako.