Unafahamu mini kuhusu network marketing

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Habari za asubuhi ndugu zangu!

Unafahamu nini kuhusu hii biashara za network marketing! Je!
1) Kuna uhusiano wowote na imani za watu?
2) Kwa nn watu wako crazy juu ya hii biashara hasa wale ambao tayari wako kwenye biashara? Wako motivated na sales kama biashara nyingine au kuna sababu nyingine?
3) Inaweza kuwa biashara mbadala kwa wale ambao wanalack busness skills kwani apllication yake iko chini ukinganisha na biashara nyingine
4) Nn ushauri wako khs hii biashara kwa watanzania hasa ukizingatia ushindani Julio kwenye aina nyingine ya biashara na kuinua taifa kiuchuni. Is it recommended? Shauri watanzania wenzako!

Achilia mbali kusema Google hapa name pale wewe unafahamu nn na ni upi ushauri wako!
 
nafahamu ni aina ya utapeli..
maneno mengiiiiiii

hakuna cha market hapo wala nini. Nina allergy na hyo kitu.
 
Siipendi kabisa biashara ya muundo huu.
Wale wanaoshabikia wanakuwa wamewekeza na wanataka kurejesha fedha zao,ndio maana ni wang`ang`anizi sana.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu!

Unafahamu nini kuhusu hii biashara za network marketing! Je!
1) Kuna uhusiano wowote na imani za watu?
2) Kwa nn watu wako crazy juu ya hii biashara hasa wale ambao tayari wako kwenye biashara? Wako motivated na sales kama biashara nyingine au kuna sababu nyingine?
3) Inaweza kuwa biashara mbadala kwa wale ambao wanalack busness skills kwani apllication yake iko chini ukinganisha na biashara nyingine
4) Nn ushauri wako khs hii biashara kwa watanzania hasa ukizingatia ushindani Julio kwenye aina nyingine ya biashara na kuinua taifa kiuchuni. Is it recommended? Shauri watanzania wenzako!

Achilia mbali kusema Google hapa name pale wewe unafahamu nn na ni upi ushauri wako!

Network marketing ni biashara inayohusisha faida kwa njia mbili ambazo ni uuzaji wa bidhaa na uundaji wa mtandao wa watu ambapo unapowaingiza watu wengi kwenye hiyo biashara ndipo unapata faida kubwa na unapanda rank walizojiwekea katika kampuni husika.
1. Kwa vile zinafaida kubwa pale unapokuwa na bidii nazo basi watu wanaingiwa na imani tofauti kama freemason nk
2. Kwa jinsi utakavokuwa unafanya vizuri ndani ya biashara hiyo ndipo utazid kuwa na pesa zaidi kutokana na kuwa na mtandao mkubwa chini yako ambapo kila mmoja wa mtu wa chini yako anakutengenezea faida ya ziada kwa kila anachouza na anaemwingiza ndani ya mtandao wake.
3. Inawezekana kabisa kuwa ndiyo tegemeo la maisha yako, ni bidii yako kuuza na kuongeza watu wawe wa chini yako ili kuwa na gawio kubwa kila mwisho wa mwezi ukiachilia faida ya uuzaji wa bidhaa unaofanya.
4. Kila biashara inahitaji kujituma na kutokata tamaa ili ufanikiwe, kuna bidhaa nyingi hawa jamaa wanazo cha kkufaya ni kuangalia bidhaa aina gani unaweza kuzifanyia kazi bila kutetetereka mfano bidhaa za urembo, vinywaji, ama food suppliments, wana mafunzo yao wanayatoa mara kwa mara kukufanya uwe imara kwenye biashara zao. Kila mtu na bahati yake jaribu unaweza kufanikiwa.
 
nafahamu ni aina ya utapeli..
maneno mengiiiiiii

hakuna cha market hapo wala nini. Nina allergy na hyo kitu.

Network Marketing is a legit and respected business model world wide. Issue is kuna viji company vinafunguliwa ulimwenguni kila baada ya dakika 5 ambazo sio legit and approved by the goverment and authorities ndio zina bring a bad name to the industry. Good example: A legal network marketing company must be a registered company in the government and tax authorities of that particular country. Apart from that its a scam. Facts ziko nyingi ila to make it short there is a parameter formular used and shared by the top earners in the industry to spot a legit and approved network marketing company. Ukiifwata u can never make mistakes or loose your hard earned money unfortunately sio kila mtu anaijua hyo formular including you ndio maana mnaishia kusema ni utapeli, freemason etc kitu ambacho si kweli. Usi criticize kitu usicho kijua au ambacho huna ufahamu nacho. Imeandikwa kwenye vitabu vya dini " Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa " i guess u are one of them. Ila sikushangai hata mm hapo mwanzo nlikua kama wewe baada ya kujifunza na kufwatilia kwa karibu sina fikra hzo tena. #Goodluck
 
Usidanganye watu, kama umeshaliwa shauri zako. Ubaya wa hii biashara inawanufaisha wale wa mwanzo, wa mwisho kuingia lazima itakula kwao. Maana shida ya haya makitu ni soko kufurika, soko likifurika eneo fulani hutapata mwanachama mpya, ukikosa mtu uliyemuingiza kwenye network hutapata hiyo kasma kamwe. Sasa hiyo biashara au wizi.?
 
Wadau nasubiri michango hapa kusimani
Ni aina ya upatu. Kwenye upatu kuna kupata au kupoteza (siyo kukosa). Kupoteza kwa maana kile ulichowekeza kinafia hukohuko tofauti na kukosa ambapo ulichonacho unabaki nacho ila hupati kitu kingine zaidi.
miaka ya 2006/7, dar es salaam iliibuka kitu inaitwa FAIDIKA, ile kitu ilikuwa mtu anaingia kwa Tsh 50,000/= na anapata faida ya mpaka zaidi ya milioni. ilikuwa hivi: unajiandikisha ofisini kwao (au anachukua kikadi kwa mwanachama), wanakupa kadi yenye akaunti tano, moja ya hao faidika, nyingine ya nne ni za watu wengine waliokutangulia. unaenda benki unalipa Tsh 10,000/= kwa kila akaunti. Halafu unarudisha pay-in slips kwenye ofisi zao. wanakutengenezea kadi tano. Katika hizo kadi tano, akaunti yao inabaki, yule aliyekuwa anafuatia anatolewa, wa tatu anakuwa wa nne, mbili anapanda kwenda tatu, moja napanda kuwa mbili, wewe mpya unaingizwa namba moja. Basi huu mchezo ukavamia vyuo vikuu, nakumbuka watu wakahamasishana wakajiunga, ngoma ika-saturate. ilifikia hatua, mtu anamshawishi mtu ambaye vikadi vyake vinabuma, hakuna tena pa kuvipeleka, lol, 50,000/= zilipotea hivi hivi wanaziona. Baadae serkali ikaingilia kati, kamachezo kakafungwa, walinufaika walinufaika waliopoteza wakapoteza. Huo ndio upatu.
 
Usidanganye watu, kama umeshaliwa shauri zako. Ubaya wa hii biashara inawanufaisha wale wa mwanzo, wa mwisho kuingia lazima itakula kwao. Maana shida ya haya makitu ni soko kufurika, soko likifurika eneo fulani hutapata mwanachama mpya, ukikosa mtu uliyemuingiza kwenye network hutapata hiyo kasma kamwe. Sasa hiyo biashara au wizi.?

We mbona mjinga...ivi unaelewa sawa sawa unacho post ?? Kama hii ni biashara ya wizi makampuni halali ya network marketing yangekua yanalipa representatives wake na taxes kwenye mataifa mbali mbali duniani yenye uchumi imara ikiwemo na nchi za Africa pia kila mwaka ?? Kwa taarifa yako kampuni zote halali za network marketing hapa Tanzania zinatambulika serikalini na mamlaka za mapato TRA na zinalipa kodi kama kawaida. Kila mwaka hizi kampuni zinalipa ma billioni ya shillingi kama kodi serikalini. Ila kwa mtu mjinga kama wewe hilo hulitambui unaishia kusema ni biashara za upatu. hebu fanya ufatilie records zake serikalini utajua..sio una bisha bisha vitu usivyo vielewa. Watu wangekua wana qualify incentives mbali mbali za makampuni hayo na kulipwa bonus ma millioni ya dollar kila mwaka ?? usiwe kama mtu ambae hakuenda shule....ungekua unatoka kijijini ningeelewa....ila wewe ni mtu mzima na akili zako.
Istoshe unafkiri kila mtu ana vihela vya mawazo (mpito) kama wewe. Mimi sifanyi network marketing bali nanunua na kutumia products kwa ajili ya afya yangu mwenyewe ambazo ni scientifically proven and are of high quality world wide haimanishi nasema huo mfumo haufanyi kazi...kuna watu nawajua wanapiga millions kila mwezi na maisha yao yanaenda vyema. Mimi sifanyi network marketing simply cz na biashara zangu nyingi za kufwatilia. Siko hapa kutafuta watu wa join business bali naeleza kitu ninacho kijua. Unafkiri kila mtu ana njaa kama wewe ?? Get a life !!
 
As ante senior boss kwa uelewa name ufafanuzi wako. Wengine karibuni kwa habari zaidi. Wakuu msigombabe kila MTU an uelewa wake juu ya hili jambo
 
Bora umemwambia maana watu wengine hawafanyi utafiti wa kitu wao nanabisha bisha bila msingi wowote asante kwa kutuelemisha
we mbona mjinga...ivi unaelewa sawa sawa unacho post ?? Kama hii ni biashara ya wizi makampuni halali ya network marketing yangekua yanalipa representatives wake na taxes kwenye mataifa mbali mbali duniani yenye uchumi imara ikiwemo na nchi za africa pia kila mwaka ?? Kwa taarifa yako kampuni zote halali za network marketing hapa tanzania zinatambulika serikalini na mamlaka za mapato tra na zinalipa kodi kama kawaida. Kila mwaka hizi kampuni zinalipa ma billioni ya shillingi kama kodi serikalini. Ila kwa mtu mjinga kama wewe hilo hulitambui unaishia kusema ni biashara za upatu. Hebu fanya ufatilie records zake serikalini utajua..sio una bisha bisha vitu usivyo vielewa. Watu wangekua wana qualify incentives mbali mbali za makampuni hayo na kulipwa bonus ma millioni ya dollar kila mwaka ?? Usiwe kama mtu ambae hakuenda shule....ungekua unatoka kijijini ningeelewa....ila wewe ni mtu mzima na akili zako.
Istoshe unafkiri kila mtu ana vihela vya mawazo (mpito) kama wewe. Mimi sifanyi network marketing bali nanunua na kutumia products kwa ajili ya afya yangu mwenyewe ambazo ni scientifically proven and are of high quality world wide haimanishi nasema huo mfumo haufanyi kazi...kuna watu nawajua wanapiga millions kila mwezi na maisha yao yanaenda vyema. Mimi sifanyi network marketing simply cz na biashara zangu nyingi za kufwatilia. Siko hapa kutafuta watu wa join business bali naeleza kitu ninacho kijua. Unafkiri kila mtu ana njaa kama wewe ?? Get a life !!
 
We mbona mjinga...ivi unaelewa sawa sawa unacho post ?? Kama hii ni biashara ya wizi makampuni halali ya network marketing yangekua yanalipa representatives wake na taxes kwenye mataifa mbali mbali duniani yenye uchumi imara ikiwemo na nchi za Africa pia kila mwaka ?? Kwa taarifa yako kampuni zote halali za network marketing hapa Tanzania zinatambulika serikalini na mamlaka za mapato TRA na zinalipa kodi kama kawaida. Kila mwaka hizi kampuni zinalipa ma billioni ya shillingi kama kodi serikalini. Ila kwa mtu mjinga kama wewe hilo hulitambui unaishia kusema ni biashara za upatu. hebu fanya ufatilie records zake serikalini utajua..sio una bisha bisha vitu usivyo vielewa. Watu wangekua wana qualify incentives mbali mbali za makampuni hayo na kulipwa bonus ma millioni ya dollar kila mwaka ?? usiwe kama mtu ambae hakuenda shule....ungekua unatoka kijijini ningeelewa....ila wewe ni mtu mzima na akili zako.
Istoshe unafkiri kila mtu ana vihela vya mawazo (mpito) kama wewe. Mimi sifanyi network marketing bali nanunua na kutumia products kwa ajili ya afya yangu mwenyewe ambazo ni scientifically proven and are of high quality world wide haimanishi nasema huo mfumo haufanyi kazi...kuna watu nawajua wanapiga millions kila mwezi na maisha yao yanaenda vyema. Mimi sifanyi network marketing simply cz na biashara zangu nyingi za kufwatilia. Siko hapa kutafuta watu wa join business bali naeleza kitu ninacho kijua. Unafkiri kila mtu ana njaa kama wewe ?? Get a life !!
Kwa mwenye uelewa mzuri atakuwa amekuelewa. Kuwa hiyo biasha inawaingizia watu fulani mamilioni kwa mwezi, tena wewe ni mwanachama ila unanunua kwa matumizi binafsi. Hufanyi hiyo biashara kwa vile una bishara nyingine. Ujumbe unaoutoa hapa ni kuwa hii biashara ni kwa wasio na option. Kwa mfanyabiashara makini hawezi achia fursa inayoingiza mamilioni akiwa amekaa akamua kufanya biashara nyingine za kumsumbua kufuatilia. CC @ ladyfurahia ladyfurahia
 
Sipendi kukudharau ila sio siri unaongea ujinga/pumba sanaa..... kwani ni biashara gani duniani ambayo hai hitaji ufuatiliaji ?? Hata hzo network marketing businesses zinahitaji ufuatiliaji mkubwa vile vile na istoshe kila biashara ina usumbufu wa aina yake. Swala la fursa za biashara kuingiza mamilioni ni kwamba fursa ziko nyingi za kuingiza pesa, issue is kila mtu ana interest zake. Na kwanini uone biashara flan ya mwenzio inaingiza mamilioni ya pesa kisha na wewe uige/copy ?? Unajua ki undani huyo mwenzio ana operate business yake katika mazingira ya namna gani ?? Can't you invent something of ur own tastes/interests from the resources around you ?? Kwan Mengi na Bakhresa wana interests zinazofanana ?? Achia mbali kutafuta pesa na kukuza utajiri wao. Watu kama nyie ndio wale wenye akili za kufanya biashara za kukaanga maandazi kwa kuona/kuiga jirani yako pembeni anakaanga maandazi ana make vihela daily basi na wewe unaiga. Mkuu ukiwa na itikadi hzo utaishia kwenye madeni na uta run out of business. Hebu kabla huja post/comment kitu kaa chini fikiri kwa umakini. Kukaa kimya sio ujinga ni busara moja wapo pia.
 
Hizi post zako zingekuwa za msaada sana ikiwa huo usumbufu ungeuweka wazi. Umesema hizo network marketing zina usumbufu na ufuatiliaji pia, ikiwa wewe ni mshauri mzuri eleza huo usumbufu ili mtu anahitaji kujiunga ajue kama ataumudu au la. Eleza pia, ili mtu anaanze kunufaika na hiyo network inabidi awe-promote wangapi. Hapo ndo dhana ya upatu inaingia.
Anyway, kuhusu kuigana kibiashara Mengi na Bakhresa mbona iko wazi. Huyu ana coca cola huyu ana azam cola, huyu ana maji kilimanjaro yule ana maji uhai, huyu ana ITV yule ana azam tv. n.k.,
 
Network Marketing is a legit and respected business model world wide. Issue is kuna viji company vinafunguliwa ulimwenguni kila baada ya dakika 5 ambazo sio legit and approved by the goverment and authorities ndio zina bring a bad name to the industry. Good example: A legal network marketing company must be a registered company in the government and tax authorities of that particular country. Apart from that its a scam. Facts ziko nyingi ila to make it short there is a parameter formular used and shared by the top earners in the industry to spot a legit and approved network marketing company. Ukiifwata u can never make mistakes or loose your hard earned money unfortunately sio kila mtu anaijua hyo formular including you ndio maana mnaishia kusema ni utapeli, freemason etc kitu ambacho si kweli. Usi criticize kitu usicho kijua au ambacho huna ufahamu nacho. Imeandikwa kwenye vitabu vya dini " Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa " i guess u are one of them. Ila sikushangai hata mm hapo mwanzo nlikua kama wewe baada ya kujifunza na kufwatilia kwa karibu sina fikra hzo tena. #Goodluck

Barikiwa kwa maelezo yako.

Mie neggirl nimejibu swali lako kama ulivyouliza. Hivyo ndivyo ninavyoijua, nikikutana na mtu anaefanya hiyo kitu hata kama nilikuwa namwamini .. naona tayari ashakuwa mbabaishaji. Tehe teheee..

Acheni tufanye kazi bana na sio kuuza maneno.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom