UNAFAHAMU MAANA HALISI YA CLOUDS?

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
581
Reaction score
520
UNAFAHAMU MAANA HALISI YA CLOUDS?
.
Watu wengi wanafahamu kuhusu 'brand' ya Mawingu ambayo ilianza huko Arusha kupitia shughuli za kupiga disko. Sasa wengine hudhani kwa kuwa ilianza kama Mawingu baasi jina hilo lilitoholewa kwenda kingereza ndio tukawa na jina "CLOUDS".

Lakini ukweli ni kwamba Clouds kila herufi kwenye neno Clouds inajenga maana halisi. Iko hivi:

C= Cool

L= Loveable

O= Outstanding

U = Unique

D= Dynamic

S= Sound
.
.
#Clouds19
 
Kwa sasa naona wamepunguza kasi kutokana na changamoto za ushindani toka eatv, tv e na wasafi tv
 
Hawa mabwana duu
 
Inatusaidia nini? Peleka upuuzi huko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…