Unafahamu hili kuhusu Ali Hassani Mwinyi?

Unafahamu hili kuhusu Ali Hassani Mwinyi?

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1404027272.554756.jpg katika uchunguzi uliofanyika kwa kupitia mbali mbali na hata historia za marais mbali mbali katika mataifa mbalimbali imethibitika kwamba,rais mstahafu wa awamu ya pili wa tanzania ndugu ali hassani mwinyi ndie rais pekee duniani alieweza kushika kiti iko katika nchi mbili tofauti kwani aliweza kushika kiti iko kama rais wa nzanzibar na alipostahafu aliweza kuja tanzania bara na kugombea na kupata kiti iko kama rais, kwani hamna kwa tanzania mtu aliefanya hivyo hata duniani kwa ujumla haya ni maajabu ya dunia ktk siasa ongera mwinyi
 
zanzibar si nchi!

Ohooo....ndugu hebu muache Pinda apumzike, alitolewa kijasho hadi akataka kulia.

Hebu subiria Ramadhani ipite kwanza, maana hao jamaa wa pande zile wakisikia hiyo kitu, funga yao inaweza isiswihi kwa mapovu.
 
Sa kwanini akawa rais,? Kule hata kama makamu wa pili wa rais umewai kusikia wapi tena hivyo ? Hapa duniani
 
Haishangazi kwani Tanzania ni kama theatre/jumba la sanaa,kila maigizo yanafanyika na viongozi ambapo huwezi kuta nchi nyingine duniani!!
 
kule zanzbar hakuwa rais kwani zanzbar si nchi. Kwenye jamhuri ya muungano wa tanzania hapo ndio alikua rais.
 
Kwa hiyo kule Zanzibar alikuwa rais wa TFF?

ZFF!
Huku tuna chama chetu cha nchi ya Zanzibar. Mada hii ilistahili kuletwa mwezi Shaban, nani huyo anasema ZNZ si nchii?
 
Lakini kubwa zaidi ni Raisi pekeee mwenye BAN ya kutosafiri nje ya nchi Hahahahaaaaa Sijui hata mkoani alishawahi kwenda labda mikoa ya kipolisi Yaani Mkoa wa Kinondoni, Temeke na Ilala
 
wengi hawafahamu kuwa Mwinyi ni mzaliwa wa Mkuranga hapo Mkoa wa Pwani
 
Lakini kubwa zaidi ni Raisi pekeee mwenye BAN ya kutosafiri nje ya nchi Hahahahaaaaa Sijui hata mkoani alishawahi kwenda labda mikoa ya kipolisi Yaani Mkoa wa Kinondoni, Temeke na Ilala

kwa nini alipigwa ban?
 
Lakini kubwa zaidi ni Raisi pekeee mwenye BAN ya kutosafiri nje ya nchi Hahahahaaaaa Sijui hata mkoani alishawahi kwenda labda mikoa ya kipolisi Yaani Mkoa wa Kinondoni, Temeke na Ilala

mmmmh kwanini wamempiga BAN!!!!!?
 
View attachment 167751 katika uchunguzi uliofanyika kwa kupitia mbali mbali na hata historia za marais mbali mbali katika mataifa mbalimbali imethibitika kwamba,rais mstahafu wa awamu ya pili wa tanzania ndugu ali hassani mwinyi ndie rais pekee duniani alieweza kushika kiti iko katika nchi mbili tofauti kwani aliweza kushika kiti iko kama rais wa nzanzibar na alipostahafu aliweza kuja tanzania bara na kugombea na kupata kiti iko kama rais, kwani hamna kwa tanzania mtu aliefanya hivyo hata duniani kwa ujumla haya ni maajabu ya dunia ktk siasa ongera mwinyi

Na umesahau kuongeza,pengine ndo Rais Muungwana kuliko wote!Ametoka hana kelele na mtu bado anatembea kwenda sokoni na kikapu chake.....Che Nkapa na Cruzer lake na watu walimpiga mawe....huyu akitoka sijui atatembea kwa helicopter...
 
Humility na yupo fit, piga masafa kwa miguu moro.
 
Lakini kubwa zaidi ni Raisi pekeee mwenye BAN ya kutosafiri nje ya nchi Hahahahaaaaa Sijui hata mkoani alishawahi kwenda labda mikoa ya kipolisi Yaani Mkoa wa Kinondoni, Temeke na Ilala
 
Back
Top Bottom