Bujibuji unaweza kumgeuza huyu MREMBO?
hebu tupe uzoefu wako wa huko nyuma katika hiliwanawake magari yanawazingua sana. Hakuna cha mke wa mtu, ana gari wala nini. Hata kama anaelekea kaskazini na wewe kusini, so long as una gari na ana uhakika wa kurudishwa kaskazini, yaani unamchukuwa kiulainiiii... Akijitahidi sana ataleta staki nataka, lakini mwishowe kitu na box. Yaani sijui wamelogwa vipi na haya magari...
kweli imetulia sana haizungukinimeingalia mheshimiwa, imetulia sana.
KUTIANA VUMBI!!!!!!??????????:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:mmmh...kutiana vumbi tu!
Nakumbuka nilikuwa naendesha trekta la kijiji. niliwadaka kibao, nadhani lile trekta lilinisababishia watoto zaidi ya kumi na nne kila mmoja na mama yake
Mimi nilikuwa naendesha trekta la KILU Kiloleli na Lubugu ujamaa villageHeee! Wewe ndo ulikuwa dereva wa KUBOTA ya KNCU pale kwetu nini? Baadhi ya watoto uliowaacha wana hali mbaya sana Bro!
Mimi nilikuwa naendesha trekta la KILU Kiloleli na Lubugu ujamaa village
unajua trekta linarusha rusha ukiwa unaliendesha, hivyo basi na mashetani huku chini yanakuwa yanaruka, yakipiga tize, si unajua baada ya tize ni mechi?Dah! basi bana. Inaonekana madereva wote wa matrekta mna tabia za kufanana. Kuna jamaa alikuwa akiendsha KUBOTA la KNCU kijijini kwetu alikuwa ni balaa. Amekula kuku mpaka na mayai yake!
Inavyoonekana rafiki uliyempata siku hzi amekuharibu sana, maana huko nyuma hukuwa hivyo..hebu tupe uzoefu wako wa huko nyuma katika hili