Unaenda wapi nikupeleke mrembo?

Buji,

...kwa jinsi baadhi ya hao watu wanavyopenda madereva, anaweza kudanganywa hata kwa gari bovu na lisilotembea kama hilo. Kwao baadhi yao bora uwe dereva tu, haijalishi waendesha nini. Hata kama ni Ambulance au gari la taka!!!
 
Nakumbuka nilikuwa naendesha trekta la kijiji. niliwadaka kibao, nadhani lile trekta lilinisababishia watoto zaidi ya kumi na nne kila mmoja na mama yake

Hii mnaiona kwa jinsi ya fumbo lakini ukweli ni kwamba watu wa gereja wanatafuna sana dada zetu kwa staili hii, hasa wauza matunda/mihogo/maji/ice cream/ etc
 
Huyo mdada na huo mkao ni wazi anaelekea kukubali chochote atakachoambiwa..........chezea verosa toleo la kwanza.
 
Nakumbuka nilikuwa naendesha trekta la kijiji. niliwadaka kibao, nadhani lile trekta lilinisababishia watoto zaidi ya kumi na nne kila mmoja na mama yake

Duuu my God...Bujibuji wewe kiboko! sasa unahudumia matunzo ya hao watoto au ndo umewaacha waishi kama ndege...'kila mtoto na riziki yake'?
 
Buji,

...kwa jinsi baadhi ya hao watu wanavyopenda madereva, anaweza kudanganywa hata kwa gari bovu na lisilotembea kama hilo. Kwao baadhi yao bora uwe dereva tu, haijalishi waendesha nini. Hata kama ni Ambulance au gari la taka!!!
kumbe dada zako ndio wako hivo.pole sana
 
Huyo mdada na huo mkao ni wazi anaelekea kukubali chochote atakachoambiwa..........chezea verosa toleo la kwanza.

umeiangalia tairi ya mbele kushoto kwako kweli?
 
Wanawake magari yanawazingua sana. Hakuna cha mke wa mtu, ana gari wala nini. Hata kama anaelekea kaskazini na wewe kusini, so long as una gari na ana uhakika wa kurudishwa kaskazini, yaani unamchukuwa kiulainiiii... Akijitahidi sana ataleta staki nataka, lakini mwishowe kitu na box. Yaani sijui wamelogwa vipi na haya magari...
 
Buji,

...kwa jinsi baadhi ya hao watu wanavyopenda madereva, anaweza kudanganywa hata kwa gari bovu na lisilotembea kama hilo. Kwao baadhi yao bora uwe dereva tu, haijalishi waendesha nini. Hata kama ni Ambulance au gari la taka!!!
..Umenikumbusha niliwahi kukutana na kiroja magomeni kuna jamaa yangu alnipa lift kwenye gari yake left hand drive ghafla mtaani nikakutana na kabinti nilikowahi kukatokea lakini kakawa kananiletea pozi basi ile kumuona tu nikamwambia jamaa simama niongee na huyo binti. Huwezi kuamini binti alipokuja upande wa kulia nilipokaa mimi akagundua kuwa usukani wa dereva hauko kule nikokaa mimi akatia ah! mtu mwenyewe kumbe gari huendeshi wewe achana na mimi.....mh!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…