Naona kampuni ya TATA imetuletea freelander 2, ebwanaa yakwanza ilikuwa na matatizo balaaa gearbox haifai spare juu ,unywaji wa mafuta juu za kwanza ukikuta karibu nyingi unakuta gearbox na au engine ni ya rav4 body freelander.Wakuu baada ya kudumu na HARRIER kwa muda nimepatwa na hamu ya kubadilisha gari. Nilitamani ALPHARD, XTRAIR au DUALIS.
Kuna jamaa yangu kanishauri kwamba huko nikama kurudi hatua moja nyuma. Anasema kama nimeamua kubadilisha gari basi ni upgrade nichukue LANDROVER FREELANDER 2.
Naombeni muongozo kuhusu gari hili kwa hali zetu za wasakatonge linatufaa?. How about price, mafuta, spare na uimara wake kwa barabara za bongo.
Ye anasema eti ni around km 25-28 mpaka linafika mikononi pamoja na ushuru, akasema ni wastani wa lita moja km9.
Naombeni maoni serious mana natakiwa kuagiza gari ndani ya mwezi huu.
Natanguliza samahani kwa usumbufu.
Ndo mana niko hapa fighter.Unapotaka kununua gari zingatia pia upatikanaji wa spare zake
usije kutusumbua baadae
[emoji1431][emoji1431] naomba na faida ya ziada mkuuKama kipato cha kuunga unga sikushauri mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umeuwa sana. Sema hapo kwenye kununua ya kunizika nayo sasa,[emoji3][emoji3]..Naona kampuni ya TATA imetuletea freelander 2, ebwanaa yakwanza ilikuwa na matatizo balaaa gearbox haifai spare juu ,unywaji wa mafuta juu za kwanza ukikuta karibu nyingi unakuta gearbox na au engine ni ya rav4 body freelander.
Angalia wahindi wasikuuwe kwa presha mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwaushauri wangu usimsikilize jamaa wewe nunua kitu roho inapenda siyo kujionyesha kwa rafiki kwamba unaweza..gari za europe kama kipato na huduma siyo nzuri itakuwa mzigo badala ya furaha.
Kama maisha ya kawaida na bado kuna mambo yamaana unataka kufanya bora ucheze kwenye toyota huku usisogee hata kwenye nisan au mazda..kwanza inatunza resale value yake hata ukitaka kubadilisha utaongeza pesa kidogo tofauti na eupean car au gari nyingine zaidi yaToyota kwa bongo.
Ukizeeka wakati wakula penshen nunua ya kukuzika nayo ,mizunguko itakuwa siyo mingi hivyo wear and tear itakuwa ndogo service mara chache na kuharibika haoto kuona
FREELANDER 2 ni hiiweka picha tafadhal
Ni hatari sana kufanya usichokifaham Vizuri uliza jifunze jambo kabda ya kuliendeaKama roho inapenda kununua Tu ukisikiliza miluzi utapotea
Kama hela ipo nunua tu hakuna gari mbaya ni umate tu uwepo
Wakuu baada ya kudumu na HARRIER kwa muda nimepatwa na hamu ya kubadilisha gari. Nilitamani ALPHARD, XTRAIR au DUALIS.
Kuna jamaa yangu kanishauri kwamba huko nikama kurudi hatua moja nyuma. Anasema kama nimeamua kubadilisha gari basi ni upgrade nichukue LANDROVER FREELANDER 2.
Naombeni muongozo kuhusu gari hili kwa hali zetu za wasakatonge linatufaa?. How about price, mafuta, spare na uimara wake kwa barabara za bongo.
Ye anasema eti ni around km 25-28 mpaka linafika mikononi pamoja na ushuru, akasema ni wastani wa lita moja km9.
Naombeni maoni serious mana natakiwa kuagiza gari ndani ya mwezi huu.
Natanguliza samahani kwa usumbufu.
Ushauri wangu nenda na Mazda CX-5 kuanzia 2012
TRA wameshusha ushuru sahiv ni 11 mil tu ukijumlisha C&F gari mpaka mkononi ni around 24-27mil.
ni gari nzuri sana mwonekano wa kisasa ni gari yenye skyactive technology ambayo itakupa good fuel consumption 18km/L
Hizi watu watakuja kushtuka muda sio mrefu zitaagizwa nyingi sana kama kenya na ndo atakuwa mrithi wa Dualis kwa bongo hivo spare zitapatikana kwa wingi
Acha kutisha watu kiongozi, Dunia Kijiji siku hizi. Ukikosa vipuri vya gari yako hapa nyumbani unaagiza kupitia mitandao fasta!Unapotaka kununua gari zingatia pia upatikanaji wa spare zake
usije kutusumbua baadae
apaki gari wiki nzima akisubiri spare kutoka Germany😅😅😅Acha kutisha watu kiongozi, Dunia Kijiji siku hizi. Ukikosa vipuri vya gari yako hapa nyumbani unaagiza kupitia mitandao fasta!
Nakushukuru sana mkuu umeniongezea kitu. Ngoja nizifatilie naahidi nitaku pm kukupa mrejeshoUshauri wangu nenda na Mazda CX-5 kuanzia 2012
TRA wameshusha ushuru sahiv ni 11 mil tu ukijumlisha C&F gari mpaka mkononi ni around 24-27mil.
ni gari nzuri sana mwonekano wa kisasa ni gari yenye skyactive technology ambayo itakupa good fuel consumption 18km/L
Hizi watu watakuja kushtuka muda sio mrefu zitaagizwa nyingi sana kama kenya na ndo atakuwa mrithi wa Dualis kwa bongo hivo spare zitapatikana kwa wingi
Kwanini mkuu. Naomba faida na hasara zake mkuuUsinunue Landrover na familia nzima ya hizo gari kama una hela ya kuunga unga...