Unadhani video ipi bora ya DIAMOND PLATNUMZ aliyo-shoot tofauti na GODFATHER PRODUCTION?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
Habarini wadau"!!

Unadhani video ipi bora za nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ alizotoa tofauti na kampuni ya GODFATHER PRODUCTION ya S.A?
Kwangu naona ya Wimbo wa moyo wangu video iliyotengezwa na ADAMU JUMA.
 
Nataka kulewa
Ni miungoni mwa nyimbo nzuri za diamond ambazo hata ikipigwa mwaka 2050 utakaa na kuiangalia maana ameitendea haki nyimbo audio na video...
 
Back
Top Bottom