Unadhani ni nini kinaendelea hapa?

Unadhani ni nini kinaendelea hapa?

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,711
Hebu icheki vizuri hii picha kisha useme, umegundua/ unadhani nini kinaendelea?...

pic.jpg
 
Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui...
 
Ha!ha!Ha hapa naona kuna mgogoro wa kiwanja naona jamaa kaamua kupiga uzio wake kabisa ha!ha hii kubwa kuliko atakae kuja kuamlia hapa sijui...

Kweli kabisa NAPITA
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika kwa sababu tu nawajua watu hawa tuliishi nao fresh na hawakuwa na mahusiano zaidi ya matani yaliyopitiliza
 
Migogoro ya ardhi na mipaka hiyo.....taaaabu sana....kutoka hapa ni kuruka ukuta...huyooo town....kurudi nayo kuruka ukuta huyo ndani ya house...eeeh mama watoto wazima humu,mmepumua salama jamani!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom