Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,891
- 141,556
Mi naweza kutabiri ataenda nchi za Africa na Asia sana
hasa China
Mi nahisi ataanzia na Kenya kwanza.
Kumbuka kazi ya Makufuri ni kuiosha nchi, kusafiri safiri NJE ndio kumetufikisha hapa....ambapo Magufuli atasafiri kwenda nje ya nchi.
...itakuwa nchi gani?
...ataongea na waandishi wa habari wa kimataifa?
Vasco da Gama ni shidaaa