Iko mahali walienda kushambulia kwa style hiyo kisa dem anatoka na mume wa mmoja wao.,masela na madem wa kitaa wakaamua kumtetea mwenzao wa kitaa asipigwe na wakuja.,'kulichimbika',wakuja wakaondoka na manundu yao huku wakisahau hata vitenge vyao walivyokuwa wamefunga 'kibwebwe' na kupoteza cm nk.
Kwenda wakaenda muamshia mume 'kirambasi' cha kufa mtu wakidai wamepigwa na king'ast chake.
Msela kuangalia mama alivyoumka akatoka na jazba akaenda chinja nyumba ndogo.,kurudi kumhadithia wife,wife akajua kimenuka,akakacha.
Mshkaji tm hizi ananyea ndoo akikabiliwa na murdercase.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.