Unadhani anafikiria nini?

teh! hapo anaiona whitehouse ileee
 
hapo anapiga mahesabu ya kura atakazopata kila mkoa. "mwanza pale nina kura milion moja laki tatu na sitini na tisa elfu na mia sita thelathini na tatu na senti kumi na mbili nukta nane moja." Arusha... dah huko sijui! ila wasiponipa nitaondoa kandarasi zote nitazihamishia chato.
 

Hahahaaa, mzee wa kukokotoa mahesabu............haya ngoja tuone aseee, heh heh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…