Unadhan inaweza kua nn?

Unadhan inaweza kua nn?

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
hello wanajamvi hili,
nimebahatika kutumiwa sms na kijana mmoja aitwaye Raymond Kilambo anatokea Transnet Ltd.
kuhusu kaz, he is asking for 40 thousands first and letter 300 thousands,as a contract of interview.
Is it sensing wanajamvi hili?
regards to all:frusty:
 
Ukishaombwa ela tuu kimbia weziii
 
Kwanza unaonekana una bahati sana, yaani basi tu si mimi aisee.
Nakushauri umtumie kwanza hicho kiwango coz waweza kuta ni kweli na hata kama ni tapeli basi utaprove. Sisi wanasayansi huwa tunaprove kwa vitendo.
 
kamata mwizi huyu, kumbe yuko humu jf
 
Mwizi mkubwa huyo,mwambie kama kweli ana nia njema mshahara wako wa kwnz achukue woote,hata km ml1 afu utaona nia yake
 
yaan jamaaa cmu yake iko off tokea juz ila itakua kashawaliza watu kibao,:evil:
 
Back
Top Bottom