Unachukuliaje kauli hii

Unachukuliaje kauli hii

Habari wadau? Kuna rafiki yangu anaendesha malori ya mafuta kwenda congo niko nae analalamika kuhusu jirani yake ambae ni 40's, ambae amemuuliza mke wake huyu rafiki yangu kama jamaa amerudi kutoka congo, alipojibiwa karudi akamwambia "ajiandae usiku wa leo, maana jamaa ana ugumu wa mwezi", mke kamwambia jamaa, jamaa kamaindi sana. Kauli hiyo mnaichukuliaje?
Kwani huyo jirani ni wa kike au wa kiume? na mke aliambiwa ajiandae na nini wkt mumewe karudi,hebu fafanua vizuri kama sijaelewa hivi
 
Habari wadau? Kuna rafiki yangu anaendesha malori ya mafuta kwenda congo niko nae analalamika kuhusu jirani yake ambae ni 40's, ambae amemuuliza mke wake huyu rafiki yangu kama jamaa amerudi kutoka congo, alipojibiwa karudi akamwambia "ajiandae usiku wa leo, maana jamaa ana ugumu wa mwezi", mke kamwambia jamaa, jamaa kamaindi sana. Kauli hiyo mnaichukuliaje?

sijakuelewa!
 
jamani naomba tochi yenye betrii au fully charged, kiza ni kinene humu ndani!
 
Unataka kuniambia mimi nikilaza kiasi hicho mkuu yaani sijakuelewa kabisaa...
 
Kama jirani ni wa kike, nitaichukulia kama utani wa wanawake. Ila kama ni mwanaume, nitajua cha kufanya.
 
mtengwa hebu usitutenge please, hujaeleweka wala nini!!?
 
Back
Top Bottom