Sijaelewa jaman!!!!
Kwahiyo ukweli asiambiwe?
Au ndo yaleeeee wasemayo wahenga yakwamba "ukweli unauma".
me rafiki yangu ameniuliza 'utaondoka na shemeji? Nawaza kumwotesha pumbu la tatu shit!!!
Kwanini amwmbie usiku na si mchana
Hahahaha huyo mwanamke mmbea kweli
is this great thinker thread!!!!!????????
:A S 39:
Sijaelewa jaman!!!!
mama kaona shemeji mtu mzima anamzoea kwa utani huo kesho ataleta mwingine zaidi
is this great thinker thread!!!!!????????
:A S 39: