Habari wadau? Kuna rafiki yangu anaendesha malori ya mafuta kwenda congo niko nae analalamika kuhusu jirani yake ambae ni 40's, ambae amemuuliza mke wake huyu rafiki yangu kama jamaa amerudi kutoka congo, alipojibiwa karudi akamwambia "ajiandae usiku wa leo, maana jamaa ana ugumu wa mwezi", mke kamwambia jamaa, jamaa kamaindi sana. Kauli hiyo mnaichukuliaje?