Mbona inaeleweka. Huyo dada ndio mwenye nywele ndefu za kike,kainama kamkumbatia jamaa,mgongo uko sana ila kainama zaidi. Mwanaume kakaa kwenye kiti na hicho juu ni kichwa cha mwanaume chenye nywele fupi fupi.
Halafu kumbe kuna watu mmekosa kabisa kazi ya kufanya