Natumia Huawei Y5 lite, kila nikitaka ku-upload file au picha nakutana na changamoto hiyo, nilijaribu ile option ya ku-uncheck (don't keep activities) kwenye developer option lakini shida bado ipo. Naomba msaada wa jinsi ya kutatua hii shida kwa mwenye ujuzi,
Nawasilisha.