Habari Wana jamvi,
Pengine Kuna mahali nakosea naomba kuelekezwa vizuri nafanya activation ya windows 10 pro. Lakini inaniambia .... Unable to activate windows.
Nikiweka key napata huu ujumbe hapa chini kwenye picha.
Pia nimetumia njia ya Cmd nako nimeambiwa .. unrecognized option
View attachment 1493010