Unabii wa TB Joshua watimia

Unabii wa TB Joshua watimia

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Haya tenaa, wale wabishi wanabishana na Redio. Hapa tena TB Joshua anathibitika,mwanzo Wa mwaka alisema ombeni kwa ajili ya russia,akasema vita itaibuka kinyume yake ,ata pressure itakuwa kubwa hata italilemea taïfa hilo. Lile nililokua nangojea kuliona ni pale aliposema,mataifa yataungana kupigana na urusi. À ha sasa leo nimeona, Majeshi ya ushirika Wa ulaya (NATO),yamepeleka silaha na kiasi cha askari 4,000 kupigana na urusi.Mungu awasaidie lakini nimeona.
 
Kule shaba na missile zinaendelea,sasa Ukraine inazidiwa ndo maana NATO wanaingiza majeshi ,vikwazo putin havijali
 
Pia alitabiri Obama ataanguka atakimbizwa Hosp. Hapo c anguko la Obama ni anguko la marekani na maandiko yatatimia muda c mrefu . viva Mr. Puttin
 
Si huwa anasema muwaombee, Hamkusali vya kutosha au imekuwaje?
 
Mhhhhhhhhh, sasa wewe unaanza tafsiri zako ambazo hakuzisema. Huhitaji kumsaidia Mungu. Alilolisema kalisema and it shall come to pass. La Obama aliendelea kwamba asifanyiwe operation kwa sababu haitakuwa nzuri kwake. Sasa anguko la marekani na operation ni wapi na wapi?

Ninachowaambiwa wenye kiburi na kutaka kupinga Ukuu wa Mungu kwa sababu ya udhaifu wa mungu wao kama kibo 10 ni kwamba, hata December last year, alitabiri juu ya ajali za ndege zitakuwa nying sana mwaka huu. Alisema shetani atafanya kazi katika usafiri wa anga na hivyo akaagiza watu tuombe..

Lakini binadamu, hata wakiona hawaelewi, hata wakisikia hawafahamu, wanabaki ku m linganisha Mungu na dini zao. Habari za Russia alizizungumza akiwa specific sana.

Pia alitabiri Obama ataanguka atakimbizwa Hosp. Hapo c anguko la Obama ni anguko la marekani na maandiko yatatimia muda c mrefu . viva Mr. Puttin
 
Unachouliza hapa ni nini? Kwamba huoni mgogoro wa Russia sasa uko katika hali gani ama huwezi kutofautisha hali iliyokuwepo hapo awali na ilivyo na inavyoelekea sasa?

Mbona wewe mungu wako hakukuambia kwamba muda si mrefu kutakuwa na mgogoro wa tofauti kati ya russia na nchi zingine tofauti na hali iliyokuwepo ya vita baridi unayoisema?

Kwa nini usimpe tu Mungu utukufu kwa Uungu wake? Mbona una matatizo yako mengi sana ambayo hata kuyakabili huwezi na bado unataka kuanzisha vita na Mungu? Duu, jamaa yangu una hatari wewe!.

Kupigana vita ya maneno au ya silaha?
Vita baridi kati ya russia na ulaya mbona ipo miaka mingi tu!
 
Kiasi kwamba unataka kutuaminisha kwamba haufahamu kuwa kuna cold war toka muda mrefu?
Anafanya timing anasema lile amabalo hata watoto wanaweza kuliona litatokea.
 
Haya tenaa, wale wabishi wanabishana na Redio. Hapa tena TB Joshua anathibitika,mwanzo Wa mwaka alisema ombeni kwa ajili ya russia,akasema vita itaibuka kinyume yake ,ata pressure itakuwa kubwa hata italilemea taïfa hilo. Lile nililokua nangojea kuliona ni pale aliposema,mataifa yataungana kupigana na urusi. À ha sasa leo nimeona, Majeshi ya ushirika Wa ulaya (NATO),yamepeleka silaha na kiasi cha askari 4,000 kupigana na urusi.Mungu awasaidie lakini nimeona.

atamzidi sheikh yahaya kwa utabiri?:couch2:
 
tb joshua ndio nani kwani? anahusika na nini zaidi?
 
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.

TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.
 
Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia

Wewe kweli akili yako ni Bufa hivi unajua maana ya unabii kweli? Mbona hauhoji juu ya unabii wa siku za mwisho kutokea magonjwa ya hatari yasiyo na tiba? Unataka prophet atabiri kama shehk Yahya uwehu wehu?
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.

TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.

Ulitaka mtabiri awe Abdalah au Athuman ndiyo uamini?
 
Back
Top Bottom