Medecin JF-Expert Member Nov 29, 2011 7,902 21,315 Dec 3, 2021 #2 Wanasiasa watu waongo sana sasa hilo tofali anapeleka wapi
Siasa mbaya sana JF-Expert Member Nov 24, 2019 1,814 3,107 Dec 3, 2021 #3 hapo alikua anajitwika tu Na hata kama atatembea kuelekea upande anaoangalia basi Kuna jengo lingine linajengwa Tafuteni video mjue ukweli acheni kukadiria picha za mnato
hapo alikua anajitwika tu Na hata kama atatembea kuelekea upande anaoangalia basi Kuna jengo lingine linajengwa Tafuteni video mjue ukweli acheni kukadiria picha za mnato
lugabussa JF-Expert Member Nov 23, 2020 559 521 Dec 3, 2021 #7 wilmar said: Unaweza kueleza vile ulivyoelewa View attachment 2031177 Click to expand... Wanasiasa sio watu wa kuwaamini,Ni watu wa maigizo tu
wilmar said: Unaweza kueleza vile ulivyoelewa View attachment 2031177 Click to expand... Wanasiasa sio watu wa kuwaamini,Ni watu wa maigizo tu
kacnia JF-Expert Member Sep 16, 2014 3,900 15,252 Dec 4, 2021 #9 wilmar said: 2View attachment 2031840 Click to expand... wajuba wanaendeshwa na tamaa kuliko utu
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,953 Dec 4, 2021 #10 Hapo usikute anataka kusepa nalo,maana CCM kwa wizi hawajambo