Umemnunulia waitress hiyoHii fish atakuwa kanywa nani mbona siilewi hii bill?View attachment 2513101
Weekend iko byee pande hii😍Me nipo live ‘conference hall na Jack Palladino Lenie tunapanga mipango ya valentine 🥰
Tupo live😊Me nipo live ‘conference hall na Jack Palladino Lenie tunapanga mipango ya valentine 🥰
Hiyo C laiti ndio Castle-lite??Hii fish atakuwa kanywa nani mbona siilewi hii bill?View attachment 2513101
Bill ndogo sana mkuu!Hii fish atakuwa kanywa nani mbona siilewi hii bill?View attachment 2513101
Bado sana tulia🤣🤣
Enjoy 🤜🏽🤜🏽Etii mkuu
[emoji23][emoji23]Basi tujenge vibanda vitatu kimoja chako ,cha Mose na cha Elia.Na mtungi wa shisha uje msisumbukr nyie changanyeni flavour zote mlizonazo.Sema na hii infinix inaniangusha sana.View attachment 2513111
kwa bill hiyo huwezi kulewa mkuu!Mkuu nahakiki kwanza kama nimelewa baada ya hpo naagiza kitimoto