Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,050
- 2,097
Kama ulikubali kuzaliwa,basi ni lazima uamuliwe mambo.Sheria,kanuni,taratibu,miongizo,maelekezo na sera zitakuamulia yote hadi kieleweke.Leo nimekaa nikawaza hivi najiamulia mambo au naamuliwa sababu toka utoto naamuliwa mambo hata wakati nasoma kwenda kukojoa, kula, kucheza tulisubili kengele nilivyomaliza shule nimekuja kujua ugumu wa kujiamulia mambo kinachofata ni kuiga yale wengine wanafanya ndo nikajua kumbe bado naamuliwa mambo.
WEWE JE UNAAMULIWA MAMBO AU UNAJIAMULIA KAMA UNAJIAMULIA UMEJIAMULIAJE?
Yeah, lazima afungwe tu! Hataki arudi kwenye tumbo la mama yake.Kama ulikubali kuzaliwa,basi ni lazima uamuliwe mambo.Sheria,kanuni,taratibu,miongizo,maelekezo na sera zitakuamulia yote hadi kieleweke.
namaanisha mambo nimeyakuta na mim nayafanya mfano nimekuta watu wanalima na mim naanza kulima, kupelekwa shule nilipagiwa xax unapokuwa mkubwa unajikuta unafanya yale yale ambayo jamii inafanya hivyo unakuwa bado unapagiwa mambo ya kufanyaUnaendelea kufungwa mkuu.
Kama huamini kasome mbuku wa four agreements.
kuna maana gani ya kusema watu wapo huru kama tunapagiwa robo tatu ya mambo tunayofanya?Kama ulikubali kuzaliwa,basi ni lazima uamuliwe mambo.Sheria,kanuni,taratibu,miongizo,maelekezo na sera zitakuamulia yote hadi kieleweke.
Ilimradi umezaliwa na unaishi lazima unaamuliwa kufanya mambo. Mamba unayoyafanya Leo hii ndiyo hayo hayo uliyoyakuta kwenye jamii.namaanisha mambo nimeyakuta na mim nayafanya mfano nimekuta watu wanalima na mim naanza kulima, kupelekwa shule nilipagiwa xax unapokuwa mkubwa unajikuta unafanya yale yale ambayo jamii inafanya hivyo unakuwa bado unapagiwa mambo ya kufanya
Msisha huenda kwa kanuni.And, rules are rules.Without rules we are all savages!kuna maana gani ya kusema watu wapo huru kama tunapagiwa robo tatu ya mambo tunayofanya?
Kabisa.Atakutana na misingi ya maisha-jumla,amri za Mungu/kanisa,makatazo ya kiimani,katiba,maazimio,makubaliano,mikataba,Sheria,maandiko,utaratibu,kanuni,miongozo,maono,fikra,michakato,mipango,sera,makatazo n.k.Atanyooka tu.There is no Freewill , The moment unazaliwa they decide your name, nationality even your upbringing depends on environment your surrounded.