una umri gani!!!?

Kuna uhusiano mkubwa kati ya umri na busara za mtu
 
mi nafikiri huwa mtu anaulizwa umri ili kupewa ushauri unaolingana na thinking capacity yake,mtu akidanganya umri kwetu sio tabu hilo ni juu yake mtu wa 20's hawezi kupewa ushauri sawa na mtu wa 50's.

Pia issue nyingine ipo kwenye aina ya thread mtu anayotoa na jinsi anavyojieleza hakika mchangiaji yeyote makini anaona dalili za utoto katika maada husika, sasa hapa mara nyingine kuna mchanganyiko/mkanganyiko fulani maana waweza kuta mtoa mada ni mtu mzima, lakini aina ya mtiririko, maneno anayotumia nk, vinapelekea kuuliza juu ya age sio mbaya, ukiulizwa toa jibu sahihi kwa sababu tunatofautiana kwa kila kitu,ukijibu utaeleweka, na utapewa michango ya thread yako kwa faida yako mwenyewe na wanajukwaa wengine.
 
Wakati mtu anakuuliza una umri gani wala usizani anatarajia umjibu ukweli ama uongo....ni kwamba umeulizwa simply because umeongea ujinga uliopitiliza hivyo mtu ana-doubt if matured person anaweza kuongea kitu kama hicho!
 
hivyo tuna hitimisha kua ukiulizwa una umri gani ujue umeanzia topic ya kitoto!!!??........badilisheni kauli zenu.
 

Kama nimekuelewa vizuri(kwenye green) ,hizo JF Titles hazitolewi kwa umri. Waulize Mods wanazitoaje watakueleza.
Au yeyote anayejua aendelee kutueleza.
 
Kama nimekuelewa vizuri(kwenye green) ,hizo JF Titles hazitolewi kwa umri. Waulize Mods wanazitoaje watakueleza.
Au yeyote anayejua aendelee kutueleza.

hujaelewa mkuu,pasome vizuri, utaelewa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…