Una ujumbe gani wa kumueleza mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Kelvine Raphael, mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025

Tuzo aliyopewa ZUNGU ya KALAMU iliambatana na hundi ya Tsh. Milioni 10. Hii ni sehemu ya zawadi. Jasusi akafurahi kweli kweli.

Soma pia: Rais Samia kuwa mgeni rasmi tuzo za 'Samia Kalamu'

Screenshot 2025-08-02 155305.png

Jasusi kutoka Matejoo anasema kuhusu siasa za Tanzania anayo familia ya kuilisha/kuhudumia, siyo jumuiya ya kuifurahisha…

Akirejea kauli ya Daktari Vicent Mashinji (I have a family to feed not a community to impress)

Vicent Mashinji alikuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, alijunga na CCM, akahongwa UKUU wa WILAYA

Zungu, anavutiwa na aina ya siasa na utawala wa Rais wa Burkina Faso (zamani Upper Volta), Captain wa Jeshi, Ibrahim Traoré..

Ibrahim Traoré is a Burkinabé military officer, aliyebadili mitazamo ya siasa za Afrika ya Magharibi na nchi yake ya Burkina Faso.

Anafurahia utawala wa Captain wa Jeshi, Ibrahim Traoré huko Burkina Faso lakini hataki CCM iondoke madarakani Tanzania.

Anachukizwa na mashambulizi ya vikosi vya Jeshi la Israeli (IDF) Ukanda wa Gaza (Gaza Strip) na analaani vikali mauaji ya raia..

Lakini Tanzania, anajitokeza na kumnadi mtia nia kugombea ubunge kupitia CCM, Paul C. Makonda katika uchaguzi.

Kijana wa Arusha, anayeumizwa na mauaji ya raia wa Palestine lakini haumizwi na UTEKAJI wa raia nyumbani Tanzania….

Jasusi la Matejoo linasema wanakwenda kutiki Oktoba - kwamba Paulo Makonda ndiye Musa aliyekuwa anasubiriwa Arachuga.
 
Kelvine Raphael, mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025

Tuzo aliyopewa ZUNGU ya KALAMU iliambatana na hundi ya Tsh. Milioni 10. Hii ni sehemu ya zawadi. Jasusi akafurahi kweli kweli.

Soma pia: Rais Samia kuwa mgeni rasmi tuzo za 'Samia Kalamu'

View attachment 3428436
Jasusi kutoka Matejoo anasema kuhusu siasa za Tanzania anayo familia ya kuilisha/kuhudumia, siyo jumuiya ya kuifurahisha…

Akirejea kauli ya Daktari Vicent Mashinji (I have a family to feed not a community to impress)

Vicent Mashinji alikuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, alijunga na CCM, akahongwa UKUU wa WILAYA

Zungu, anavutiwa na aina ya siasa na utawala wa Rais wa Burkina Faso (zamani Upper Volta), Captain wa Jeshi, Ibrahim Traoré..

Ibrahim Traoré is a Burkinabé military officer, aliyebadili mitazamo ya siasa za Afrika ya Magharibi na nchi yake ya Burkina Faso.

Anafurahia utawala wa Captain wa Jeshi, Ibrahim Traoré huko Burkina Faso lakini hataki CCM iondoke madarakani Tanzania.

Anachukizwa na mashambulizi ya vikosi vya Jeshi la Israeli (IDF) Ukanda wa Gaza (Gaza Strip) na analaani vikali mauaji ya raia..

Lakini Tanzania, anajitokeza na kumnadi mtia nia kugombea ubunge kupitia CCM, Paul C. Makonda katika uchaguzi.

Kijana wa Arusha, anayeumizwa na mauaji ya raia wa Palestine lakini haumizwi na UTEKAJI wa raia nyumbani Tanzania….

Jasusi la Matejoo linasema wanakwenda kutiki Oktoba - kwamba Paulo Makonda ndiye Musa aliyekuwa anasubiriwa Arachuga.
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Mpuuzi tu huyu albino. Itakuwa macho yake hayaoni vema unyama wa huyu mwanaume mwenye makalio makubwa aliyepewa na wazazi wake jina la Bashite.
 
Yupo sahihi ikiwa Yule jamaa aliyepo motoni kuna watu wanampenda why huyo DAB
 
Back
Top Bottom