Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
Nini nifanye ili tushinde haya majaribu...
Farka hii (uchawi wa kufarakanisha) kwa Dini ya Kiislam ni vema kufanyiwa Dua na Visomo hapo nyumbani kufukuza uadui na shari za ulimwengu.

Kwa Dini ya Kikristo ni vema kufanyiwa maombi maalum kuondoa shari hii.

Katika utibabu njia ya awali tafuta Haltiti, kaafur mait na muosha fedha zitakusaidia, ila kama ni uchawi mkali sana itabidi tiba ifanyike.
 
Hapa nimetapeliwa waya wenye thamani ya 180,000
Je mtumzito unaweza nsaidia kumvuta anirudishie mana hapa mm nmgeni sana nipo shinyanga

Kama una namba nipe nikupigie saiz mtumzito
 
Kuna jinsi ya kunifanya niote ndoto za mambo ya kweli? Kwa mfano dua,au maneno au vitendo nikifanya basi usiku nikilala naota matukio ya mambo ya kweli?
Kwa kawaida ndoto huja zenyewe na kila njozi ina maana yake ukitambua namna ya tafsiri yake, lakini pia ndani ya uganga zipo dawa za kukuletea mambo mbali mbali katika ndoto.
 
swadakta! mkuu mi nataka kujua iv nikwel uwezi kuwa mbunge bila kuwa mchawi... kuna tofauti gan kati ya mchawi na mganga. ni kwel mchawi awezi kuwa mganga ila mganga anaweza kuwa mchawi. naomba uhusiano kati ya hawa watu wawili? Na je? Uchawi unatofautiana kati ya kanda na kanda mfano kigoma vs sumbawanga kwanin? Romania ni nch inayotajwa kuwa maarufu kwa uchawi dunian ni kwel? Mana kuna movie moja ilifungiwa kama sikosei inaitwa DRACULA 2000, kisa ilikua na uchawi wa kutisha.. Naomba pia kujua uhusiano kati ya wachawi na serikali.. Mana sikuelewaga lile tifu la wachawi wa romania kudai haki zao wakiishinikiza serikali lasi ivyo kuiroga kwa kinyesi cha mbwa.. CC. @Mshanar Jr
Ndani ya maswali yako uliyouliza yapo ambayo majibu yake yapo humu haswa kuhusu waganga na wachawi hivyo pitia page zilizopita, kuhusu haya ya siasa na uchawi niache nibaki nayo katika siri za vilinge.
Pia nikipata wasaa nitakujibu kwa kina sana juu ya uchawi na siri za ulimwengu na hapo utapata majibu yote ya maswali uliyomalizia hapo chini.
 
Mtu mzito natamani kuwa na uwezo wa kuona mambo yasiyoonekana kwa macho ya nyama (macho ya kawaida), uwezo wa kutambua vilivyofichwa au kufanyika sirini, uwezo wa kuzungumza na mtu na kubaini kwamba anadanganya au anasema kweli, kumtazama mtu na kujua historia yake
 
Kati ya jinsia ya kiume na ya kike ipi ina idadi kubwa ya wachawi au waganga
Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa katika uganga huongozwa na wanaume ila katika uchawi hapo bado kunafungana kulingana na uwiano tofauti ndani ya makundi ya wachawi.
 
Mtu mzito natamani kuwa na uwezo wa kuona mambo yasiyoonekana kwa macho ya nyama (macho ya kawaida), uwezo wa kutambua vilivyofichwa au kufanyika sirini, uwezo wa kuzungumza na mtu na kubaini kwamba anadanganya au anasema kweli, kumtazama mtu na kujua historia yake
Zipo njia za kupata uwezo huo na binafsi nimetumia kwa muda mrefu na sasa nipo kwenye taratibu za kupunguza makali maana naona inanitoa katika ubinadamu wa kawaida.
Faida yake;

Unaweza kujua mengi yajayo na yaliyopita hata kama huku/hautakuwepo, kumjua adui hata kama anakuchekea au bado hajafanya ubaya, kuelewa watu wanachokusema hata kama pale walipo sauti haikufikii, kujua fikra za mtu, kujua mabalaa au kheri iliyo mbele yako nk.

Hasara;

Itakuletea maadui wengi na upweke kutokana na kujitenga na watu wengi wa karibu kutokana na kujua dhamira zao mbaya juu yako, kuishi kwa wasiwasi pale utakapoona mabaya ambayo huna nguvu ya kuyaepuka, kuchukiwa na watu pale utakapoepuka mitego yao, kuishi kwa kinyongo na kukosa tulizo la moyo pale utakapogundua watu wako uliowaweka mstari wa mbele na kuwapenda ndiyo nyoka kwako nk.
 
ninautata katika kutambua tarehe na mwezi wangu wa kuzaliwa,je kuna namna yoyote yakuweza kubaini hili wakuu? au itabaki siri ya Muumba!
 
Zipo njia za kupata uwezo huo na binafsi nimetumia kwa muda mrefu na sasa nipo kwenye taratibu za kupunguza makali maana naona inanitoa katika ubinadamu wa kawaida.
Faida yake;

Unaweza kujua mengi yajayo na yaliyopita hata kama huku/hautakuwepo, kumjua adui hata kama anakuchekea au bado hajafanya ubaya, kuelewa watu wanachokusema hata kama pale walipo sauti haikufikii, kujua fikra za mtu, kujua mabalaa au kheri iliyo mbele yako nk.

Hasara;

Itakuletea maadui wengi na upweke kutokana na kujitenga na watu wengi wa karibu kutokana na kujua dhamira zao mbaya juu yako, kuishi kwa wasiwasi pale utakapoona mabaya ambayo huna nguvu ya kuyaepuka, kuchukiwa na watu pale utakapoepuka mitego yao, kuishi kwa kinyongo na kukosa tulizo la moyo pale utakapogundua watu wako uliowaweka mstari wa mbele na kuwapenda ndiyo nyoka kwako nk.
ngoja kwanza nitakutafuta nautamani huu uwezo kwa kweli
 
Mtu mzito habari yako, hapa umeniacha njia panda, ni kweli binadamu anaweza kuwa na uwezo wa namna hii?? Kingine je tiba yako unaitoa hata katika mwezi huu mtukufu?? Nahitaji kukuona
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom