Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
Mkuu...kuna ndugu yang nahis kachukuliwa msukule na mzee fulan ..ntawezaje kujua ukwel wa hilo bila kwenda kwa mganga?
Wapo wachungaji na manabii wa zama hizi nawaona wakihubiri habari hizo hapa bongo, rabda ukawaone wao kwa uthibitisho zaidi
 
mizimu ni majinni yaliokaa sehemu flani (kijiji mkoa au nchi) na kufahamu tamaduni za eneo husika kisha kizirithisha kizazi hadi kizazi yaani kutoka kwa babu wa babu zako nawe ukiwafuata utawarithisha wanao na wajukuu zako

Sio kweli mizimu na majini ni vitu viwili tofauti. Mizimu ni roho za watu walio kufa.
 
Vipi kuhusu huko kuzimu ni kweli kupo na kwawalioko huko wanatambua maisha ya huku?na ni utawala wa nani huko
 
Mimi sio mganga, ingawaje zipo taaluma za jadi zenye kujihusisha na mambo kama hayo

Kama zinavyogongana ndege angani ndivyo wachawi huweza kujikuta katika njia moja na hapo ni mawili, ama busara kutumika ama kuonyeshana uwezo.

Mimi na hao wenzangu uliowataja sio wachawi
Haya niambie nini maana ya MWASAKAFYUKA huku ukihusisha na MAZIVU ya mwanamke ili kunogesha tendo la ngono,ukijibu hili swali nitakuombea cheti cha ufaulu wa elimu ya uchawi (witchcraft,wizardry,and the ultimate effect of all), kutoka kwa muheshimiwa Mkuu Mshana JR JUJU MAN,akutunukie chet hicho cha uzamili.
 
Haya niambie nini maana ya MWASAKAFYUKA huku ukihusisha na MAZIVU ya mwanamke ili kunogesha tendo la ngono,ukijibu hili swali nitakuombea cheti cha ufaulu wa elimu ya uchawi (witchcraft,wizardry,and the ultimate effect of all), kutoka kwa muheshimiwa Mkuu Mshana JR JUJU MAN,akutunukie chet hicho cha uzamili.
Juju man
 
Sina maana hiyo mkuu,usije nichonganisha na Muheshimiwa Mshana JR,hiyo ilikua ni kukoleza habari kisanii tu,ila namkubali Mkuu Mshana JR kwa taaluma ya mambo ya Kuzimu.
Sawa sawa mkuu wangu KARANJA mzee wa ligi
 
Zongo ni nini?

Mtu anapigwaje zongo na anawezaje kujinasua?
Zongo ni aina ya uchawi ambao aliyefanyiwa huvimba tumbo na mda mwengine pia kuharisha au choo kuwa kigumu, uchawi huu mara nyingi mrogaji hupaka kama wanja na akikukonyeza tayari umekupata.

Namna ya kuondoa kuna dawa inaitwa makata inaweza kuondoa, na pia tura na majivu husaidia.
Na pia zipo njia nyingine mbalimbali za kutibu kulingana na sehemu husika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom