mimi nilienda kupata tiba lkn nilichukuliwa vyote hivyo mpk mchanga wa kivuli changu.. maana yake nn..Japokuwa uchawi unaweza kufanyika kwa vitu vya aina mbali mbali lakini mlengwa mkubwa ni binadamu hivyo kucha na nywele huchukuliwa kwa ajili ya kufanya madhara kwa binadamu husika au hata mwengine, vitu hivyo ambavyo huitwa Vyachira vipo vya aina nyingine pia kama vile mate, unyayo, nguo iliyovaliwa nk.
Naomba kufahamu tofauti ya mchawi na mganga
Mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa MAISHA yakoMe naomba msaada nifanyeje ili wanga wasije kuniwangia usiku na pia wanga wanaweza kumdhuru mtoto mchanga maana nna wasiwasi na mwanangu jaman....
Katika namna yeyote, ndoto zina maana kubwa iwe nzuri au mbaya ila tafsiri yake hutokana na maudhui.Mtu mzito naomba msaada wako
Hiv ile hali nikilala taa imewaka sioti ndoto yoyote lkn nikilala nimezima taa naota lkn sio ndoto mbaya nisaidie kwa hili
Uchawi una wigo mpana sana na kupuliza ni moja ya njia zilizopo ndani yake, kupuliza hutumika kufanya mengi sana kama vile kumvuta aliye mbali, kuua mazindiko ili waweze kupita, kumfunga anaetakiwa kuwangiwa asiamke mpaka zoezi liishe, nk nk.uchawi wa kupuliza ni upi na una madhara gani...na ni ipi tiba yake?
Hakuna uganga wala uchawi kwa wana wa IsraelUchawi una wigo mpana sana na kupuliza ni moja ya njia zilizopo ndani yake, kupuliza hutumika kufanya mengi sana kama vile kumvuta aliye mbali, kuua mazindiko ili waweze kupita, kumfunga anaetakiwa kuwangiwa asiamke mpaka zoezi liishe, nk nk.
Ni kweli kuwa baadhi ya watoto hufungwa kamba yenye fundo jeusi kiunoni na kinachowekwa ndani yake ni nywele zake za uchanga, kitovu chake kilichokatika au hata dawa mbali mbali kama vile mvuje, halititi, mavi ya tembo nk.Je ni kweli wale Watoto hasa waswahilina wanafungwa kiunoni kakamba flani cheusi kuwa ule ni uchawi wa kuwalinda,na inakuwaga unga kutoka mabaki ya albino?
Faida yake ni kuwa na mvuto wa mapenzi kila utakapoingia hali itakayofanya wanawake wakupende sana.Mkuu kwa mara kadhaa nmesikia kuhusu kitu kimoja kinaitwa ndere kwamba ni moja ya njia ya kuvuta wasichana, naomba kuelimishwa juu ya hicho kitu na je madhara yake ni yapi iwapo nitadhubutu kuitumia? Mtu mzito
Hatujadili na Wana wa Israel na ndio maana hatuandiki kiyahudi, Anzisha uzi wako wa 'wana WA Israel hawashindwi' tutakuja kuuliza maswali na sio kupayuka kama umetajwa kwenye list ya Makonda.Hakuna uganga wala uchawi kwa wana wa Israel
Na uchawi utaendelea kushindwa kwa jina la Yesu
Amen
Pole kwa 7bu unaikataa Neema ya MunguHatujadili na Wana wa Israel na ndio maana hatuandiki kiyahudi, Anzisha uzi wako wa 'wana WA Israel hawashindwi' tutakuja kuuliza maswali na sio kupayuka kama umetajwa kwenye list ya Makonda.
Vipi kuhusu ikiisha nguvu, nmeskia waweza patwa na hali ya kuchukiwa na mabalaa mazito! Je, kuna ukweli katika hilo?Faida yake ni kuwa na mvuto wa mapenzi kila utakapoingia hali itakayofanya wanawake wakupende sana.
Madhara yake ni yale yale ya kawaida kwa mtu anaependwa na wengi mfano kufumaniwa, kuandamwa na wanawake kila muda, kusababisha ugomvi baina yao nk nk.
Hapana, hili halina ukweli.....ni kawaida kwa wale ambao hawayajui mambo haya kuongeza maneno yao ili kutisha wengine, ndere ikitokea imeisha nguvu mtu hukosa ule msaada wa nguvu yake na kurudi kama awali.Vipi kuhusu ikiisha nguvu, nmeskia waweza patwa na hali ya kuchukiwa na mabalaa mazito! Je, kuna ukweli katika hilo?
Mara nyingi ndoto za aina hiyo humaanisha kutawaliwa na majini ya asili.Mkuu mtu mzito,
Kuna siku nilijiota niko kitandani nimelala kisha ghafla akatokea chatu akatambaa juu ya tumbo langu na hakuonekana na nia ya kunidhuru au kuwa na ukali wowote ila ghafla nikaamka kutoka usingizini.Hii ina maana gani mkuu?
Ni miaka kadhaa imepita toka nimeota hii ndoto na sijawahi isahau kwasababu ni kati ya ndoto za kutisha nimewahi ota.
Mara nyingi ndoto za aina hiyo humaanisha kutawaliwa na majini ya asili.Mkuu mtu mzito,
Kuna siku nilijiota niko kitandani nimelala kisha ghafla akatokea chatu akatambaa juu ya tumbo langu na hakuonekana na nia ya kunidhuru au kuwa na ukali wowote ila ghafla nikaamka kutoka usingizini.Hii ina maana gani mkuu?
Ni miaka kadhaa imepita toka nimeota hii ndoto na sijawahi isahau kwasababu ni kati ya ndoto za kutisha nimewahi ota.