Una shuguli ya Harusi, Send off, Kitchen party, Kipa imara, ubatizo

Una shuguli ya Harusi, Send off, Kitchen party, Kipa imara, ubatizo

Kigali

Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
33
Reaction score
10
Habari za jioni wanaJF,
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku.
Katika kuzingatia sherehe mbalimbali watu wengi wamekuwa wakipata shida sana hasa wanapokuwa na sherehe za aina tofauti ambazo huhitaji maandalizi ili kuzifanikisha. Sherehe hizo ni kama vile harusi, kitchen part, send off, kipa imara, ubatizo na nyingine zinazofanana na hizo.
Unapokuwa na sherehe kama hiyo usihangaike wala kuumiza kichwa ukijiuliza ni wapi utapata huduma unayoihitaji katika sherehe yako.
Sisi tupo ili kukupatia taarifa ya wapi utapata huduma yoyote unayoitaka. Iwe ni wapi utafanyia vikao vya sherehe, chakula, vinywaji, MC, Mapambo, ukumbi, Cake, Card za mialiko, mavazi ya sherehe, video, picha, wahudumu wa sherehe, muziki pamoja na chochote utakachokihitaji kwenye sherehe yako.

Unachotakiwa kufanya ni wewe kutuma ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) au kupiga simu ukielezea ni huduma gani ambayo unaihitaji kwenye shuguli yako.
Tutakachohitaji kujua ni tarehe ya sherehe, idadi ya watu wanaotarajiwa kufika, bajeti na mahali ambapo sherehe hiyo itafanyika.
NB: Tunapenda kujua Bajeti yako ili iwe rahisi kutafutia huduma inayoendana na bajeti yako.

KUMBUKA HUDUMA HII NI BURE KABISA HUTALIPIA CHOCHOTE.

Kwa mawasiliano zaidi tuma SMS au piga simu0685-701323

 
Huduma gani ni bure sasa...........

Ya kufanyiwa catering ama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huduma gani ni bure sasa...........

Ya kufanyiwa catering ama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Labda yeye ni dalali na anatafuta tenda kwa hiyo atalipwa na alie tafutiwa tenda
Pia anaweza kuwa ndo mtoaji huduma ila atafanya chini ya bajeti ulio mpa ili apate profit!
 
^^
Tangazo jema itabidi uliweke tena mwezi ujao..maana misimu ya harusi imekaribia.
Desemba mwishoni hadi januari mwanzoni..
Watu wapo honeysun sasa hivi,honeymoon inakuja
^^
 
Back
Top Bottom