Una neno juu ya huu msosi?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,958
Je, kikwenu kwenu huwa manpika dizain hii ya msosi?

ukigonga hii menyu huwa unajisikaje ?



ugali wa mtama kwa kitu cha kuku wa kienyeji!!!!!
ukikigonga mchana baba, kinakaa tumboni mpaka kesho!!





hii kitu ina save sana kwenye maharusi kule vijijini mwetu!!
kidogo tu ukipata na nyama!! aaar! mambo safi...!

yani hata bi haru nae anaburudika safi kabisa!
 
Dah!Safi sana, nimekumbuka mbali sana hiyo kitu.Hapo sasa ilitakiwa kichuri kiwepo!
 
Nahisi naweza tapika kabla ya kula,doooo
 
Kwa watu tuliozoea kula sembe, ukitupia kitu kama hiki lazima tumbo liseme "new hardware found"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…