Una mpango wa kukata rufaa? - Hapana "Fransis Cheka"


lakini tizama mwenendo wa kesi pia, cheka hakuwahi kuambiwa kuleta mashahidi wala kujitetea, na aliyepigwa hakuwahi kutibiwa popote kwa hali ya kawaida upigwe na cheka utabaki salama kweli?
 
Acha ku dharau biashara za watu wengine, Kuna mtu namjua kwa siku anatengeneza 10000 kwa kuokota chupa, haya tuambie wewe kwa siku una make bei gani.. wa hapahapa

binafsi nafikiria kuanzisha club ya friends of cheka tuokote machupa ya mengi
 
Last edited by a moderator:
lakini tizama mwenendo wa kesi pia, cheka hakuwahi kuambiwa kuleta mashahidi wala kujitetea, na aliyepigwa hakuwahi kutibiwa popote kwa hali ya kawaida upigwe na cheka utabaki salama kweli?
Khaaaa. . . . .Sababu ni cheka au nini kinafanya ufikirie hivi
 
Nampa pole cheka hakujua mahakama huwa haidhihakiwi ni funzo kwa jamii nzima
 
lakini tizama mwenendo wa kesi pia, cheka hakuwahi kuambiwa kuleta mashahidi wala kujitetea, na aliyepigwa hakuwahi kutibiwa popote kwa hali ya kawaida upigwe na cheka utabaki salama kweli?

Alifungwa Tyson kwa kumkata makofi mkewe itakuwa Cheka . Tyson s bondia kama yeye. Harafu kama ameathika kichwa chake akitolewa jela s ataendelea kupiga watu . Akae huko huko . Au apelekwe milembe ili atengwe na jamii. Au unataka kusema ukiwa star ndio ufanye makosa tu uraiani na uachiwe .
 
Sheria haina cheka acheni ujinga!
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga "mwisho"
 

Sasa jinai unamalizanaje nje ya mahakama wakati jamhuri ndiyo inashtaki,labda useme aongee na mlalamikaji ampooze asitoe ushahidi pamoja na kuwaficha mashahidi wengine ili kesi ife lakini kinyume na hapo ni ngumu lakini ingewezekana,tanganyika hii hakuna linaloshindikana
 
pengine hapo kwenye kupeleka ombi kwa rais itakuwa ni wazo zuri

Liacheni hili fara liozee jela, sheria imefuata mkondo wake mnamhurumia nini huyo, angekuwa amekupiga wewe ingekuwaje au ndugu yako wa karibu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Kila mtu ana haki mbele ya sheria.
 
Huko jela watakaommendea watakula za chemba
 
Liacheni hili fara liozee jela, sheria imefuata mkondo wake mnamhurumia nini huyo, angekuwa amekupiga wewe ingekuwaje au ndugu yako wa karibu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Kila mtu ana haki mbele ya sheria.

siku ukienda jela utamkuta ndo mnyampala
 

Mkuu, kama umemsoma Cheka, ujue kabisa hii kitu ilishapangwa

Na ni kweli kwa sababu kuna kikundi cha watu Tanzania kinapenda sana kutumia sheria na polisi kukomesha wengine

Kuna kesi au shauri la msingi la Cheka kudhulumiwa, lakini no one anatia kauli, but his case imepigwa fasta ili afungwe, watu wanataka dili, watu wanataka kumkomesha

Kitu wanachosahau ni kwamba miaka mitatu si mingi, na akitoka atakua mnyama, itabidi watafutane
 

Hao wote wanafiki tu, haiwezekani mtu awe na kesi kipindi chote hicho wasijue! He might look stupid to you but you can't tell me you know his case than he-self, I like his ego not to backdown for what he stand and believe in, give me liberty or just give me death. wampe mabati yake
aliopewa na kikwete waache dhuruma, unaweza Kuona kwenye statement yake alivyokuwa frustrated na system, hata mimi ukinidhurumu Mali zangu tegemea retaliation na nakuhakikishia utajuta kuzaliwa.
 

Ww ulikuwepo wakati akitenda hilo kosa la jinai mkuu? Mchizi anakula kiugumu kwa jasho lake na kwa madai yake alipewa mabati na kikwete mpaka leo ni hadithi hajapewa na hao waliopewa maagizo na mkuu wa kaya! Na Jamaa amekomaa kudai, hiyo kesi yenyewe anadai upande wa mashitaka umekataa asilete ushahidi upande wake, Ww umeshawahi kuona kesi inatolewa ushahidi upande Mmoja?!! Tanzania judiciary system is very corruptive, watu waliopo madarakani wanaweza kufanya lolote ukapotea, he seems to be very frustrated with the system ila ukitazama upande Mmoja mtamuona kama mtu aliekuwa anajiamini kwasababu ni Cheka! Unaposimamia unachoamini ni haki yako u will never backdown no matter what and for me, the dude he's the one of those mother.fuckerz.
 

Kijana Tanganyika ingekuwepo hii hali ya kutoatoa rushwa isingekuwepo
 

Hiyo siyo kazi ya hakimu.. angekuwa na wakili ndio angewasilisha kama sehemu ya utetezi.. jamaa kwa ujumla alichukulia kirahisirahisi.. (sheria ni msumeno...)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…